uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,090
Mi nashauri mtu asome kile anachokipenda kama education ni fani anayoipenda akasome ila usisome kwa focus ya urahisi wa ajira mkuu soma maliza njoo kitaa pambana na hali iliyopo thats all for me nachukia hiyo koz but naiheshimu sana