FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
- Thread starter
-
- #21
Hiyo ni hatua ya kwanza katika kukutongoza,kwani ukitabasamu tu umempa nyenzo na nguvu ya kukutokea vizuri ila ukikunja ndita maana yake ni kuwa umechukia kile kitendo, punguza kuuza sura,muuzie mumeo,au unawatega?
Macho mia mia......!!naomba unambie hiyo sura nauzaje??
[/COLOR]
Hahahah........... Ahsante kwa kunikumbusha hommie. Jumatatu itakuwa lini home boy?
Hivi tarehe 18 na tarehe 16 zina uhusiano gani Kaizer? Ni siku za biya au siku ya wasokunywa biya?
Umesahau na kimoja: Na Wakati gani.... Manake wenye ndoa zetu takatifu ifikapo saa nne lazima turejeamo tabenako....
Aisee!! ngoja nisepemimi na wewe tena! graph ya upendo ndo inazidi kupaa! ndiyo maana nimechungulia hapa kama na wewe unatakenyaga viganja...:der:
simple,ni sign of love
Inawezekana pindi mnapokutanisha uso unatoa tabasamu tata kiasi kwamba linawafanya wawe na mawazo yale..........
Vaa sura ya kazi