wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Kumekuwa na mkanganyiko au malumbano mbalimbali kuhusu wanandoa baada ya harusi kwenda haney moon na wakati mwingine kupelekea hadi wanandoa kuanza kununiana siku mbili tuu baada ya kufunga ndoa. Mara nyingi hua wanawake baadhi ndio hukomalia hili suala tena na wengine hujichagulia kabisa sehemu wanayotaka bila hata kuangalia uwezo wa kamati husika,
Je kwenda haney moon ni hiari au ni lazima?
Je kwenda haney moon ni hiari au ni lazima?