MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,760
- 48,410
Madereva Watanzania wamekua wakipimwa na majirani zao wote SADC na EAC na kukutwa na corona, kama jinsi hata madereva wetu wanapimwa Uganda na kugunduliwa na corona, ila Watanzania kama ilivyo kawada yao wanalia lia na kufukia vichwa ardhini maana kwao huko wamejiaminisha hawana corona.
Tofauti na kwingine huko ni kwamba sisi tuna uwezo wa kupima wengi kwa mkupuo, na kwamba madereva wengi wa Tanzania huja Kenya, tofauti na majirani zao wengine, hivyo tunapima wengi na kuwagundua na corona, hii inasababisha aibu kwa wakuu wao ambao wamewaaminsha raia wao kwamba corona imeisha na sasa wajiandae Jumapili kupiga makelele ya ushindi dhidi ya corona, ila kila wakithubutu kuingia kwa nchi yoyote jirani namba za waathirika wao zinapandsha.
Jamaa wamelia lia mpaka imembidi balozi wetu kuwahutubia na kuwakuna akiwaita ndugu na mazagazaga mengine ambayo hutumika huko kwa watu wa mfumo wa ujamaa, ila swali bado linabaki pale pale; je, dereva Mtanzania akiingia Kenya au kwenye taifa lolote jirani, atapimwa au aachwe aingie na corona yake kisa walikunwa kunwa na balozi wetu.
Sisi hatuna wasiwasi kuhusu wao kuzuia madereva wetu, muhimu sana madereva wetu wazuiwe kuingia kwenye nchi ambayo imejichokea kwenye vita dhidi ya corona kisa umaskini, maana kila wakigeuza wanakuja na corona.
Napenda sana wanachokifanya Uganda, wanapima madereva wetu kiasi kwamba hatuwaogopi wakirudi, lakini wakienda Tanzania au Mkenya yeyote akienda Tanzania akirudi lazima tumpigie ukunga akithubutu kuingia kinyemela. Kila mtu lazima apimwe. Pima, pima, pima, hata iwe nani au hata akilia vipi.