kluger
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,093
- 1,894
Kwa kadhaa sasa tangu huyu Rais aingie madarakani amekuwa akipendelea wazi wazi na kutoa ahadi nyingi kuhusu majeshi, polisi, magereza na jeshi la wananchi.
Ujenzi wa nyumba, marupurupu, na ahadi chungumzima, kwangu mimi hili si tatizo sana kundi hilo la wafanyakazi kupata riziki zao.
Tatizo langu ni kuhusu sekta nyingine, wafanyakazi wamesahaulika, sekta za afya, elimu na wafanyakazi wa taasisi nyingine.
Nazungumzia maslahi ya wafanyakazi wa sekta hizo.
Keki unayogawa ni ya watanzania wote, jifunze kuwa na uwiano katika kugawa maslahi ya wafanyakazi.
Hata kama una hofu au hujiamini kuhusu usalama wako, jifunze kusawazisha mambo.
Aina gani ya baba unayefanya upendeleo wa wazi na kugawa watoto kwenye familia yako?
Hii si sawa kabisa!