Hivi askofu makala mbona sikuelewi

Hivi askofu makala mbona sikuelewi

joka57

Senior Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
138
Reaction score
49
Leo usiku kwenye taarifa ya habari kupitia star tv anasema watu wasijihusishe na maandamo ambayo ni haki ya kila mtanzania kikatiba. eti anasema vijana msiende kuandamana na wanatakiwa kutii serikali. tena anasema eti maandamano yasiyo na kibali wasiende lakini anashindwa kutambua kwamba mtu anayeandamana anahitaji kutoa taarifa polisi ili apate ulinzi wa jeshi la polisi

-askofu makala yeye anatii mamlaka zilizofitinika kwa wizi,ufisadi,ubabe

Mimi naomba nimuulize askofu makala mbona hatujwahi kukusikia ukikemea wizi ,ufisadi na utawala mbovu uliokithiri katika nchi hii? au askofu makala unataka kutuambia kwamba wewe unaunga mkono huu uchafu kuliko maandamano ya wanyonge wanaodai haki zao?

hawa ndio wachunga kondoo wa karne hii
 
Ukiisha ona Askofu anakuwa hivyo ujue kwanza ana watoto aliozalisha kwa kukiuka maamrisho yanayomuongoza katika dini yake kwa hiyo anakuwa yupo katika dini kama ajira zingine na ndio maana maaskofu kama hawa ndio wanaofanya hadi sasa nyumba za ibada zinakosa waumini kwa kuwa viongozi wao sio waadilifu kwani wanachokiubiri ni tofauti na matendo yao.
 
wachungaji na maaskofu wa miaka hii ni sheeda ndiyo maana wengine tunaona bora kushinda nyumbani kuliko kuhudhuria ibaada!
 
Makala ndiyo nani, mbona hata kujulikana hajulikani? Atakuwa Askofu kanjanja huyo!!!!!!
 
huyo siyo askofu, msukule usiyo jua maovu ya nchi hii. Naomba mtoa hoja usirudie kumuita askofu tena.
 
Acheni kukashifu viongozi wa dini....iwe yoyote ile...ni mtazamo wake na yeye...uheshimu kama unavoheshimu wa kwako
 
Back
Top Bottom