Hivi askari wa Moshi na Arusha hawatoshi?

Si mbaya sana kama yakiwepo hapo arusha mjini,standing-by kwa lolote ambalo linaweza kutokea huko arumeru mashariki.na kuhitaji nguvu ya ziada.

Lakini pia yawe tayari kumlinda kamanda Lema dhidi ya washiri na Tendwa wao. Maana imedhihirika kuwa washili ni sehemu ya ukoo wa Siyoi Sumari.
Tulishawazoea magamba kuwatisha wapiga kura, naona ni bora wangepeleka na vifaru vya kivita kabisa
 
Hakuna ubaya wowote yapo kwa ajili ya usalama, mbona hayo magari yalikuwepo Arusha na Chadema wakashinda ubunge.

Uzoefu unaonyesha,mahali popote wapinzani walipopita matokeo yalichelewa kutangazwa.
Mpaka wananchi walipoleta nguvu zao kwa pamoja.
 
nafananisha polisi wa tanzania sawa na wa israel na sisi raia ni wa palestina jinsi tunavyoshambuliwa!
 
Hivi kumbe tuna uchache wa magari kabila hii??? hadi yatoke dar kwenda Arusha?? hivi ikitokea varangati ama uchaguzi mwingine mdogo (mfano geita), watayagawa vipi hayo magari??
 
Nimeshuhudia magari yenye maji ya kuwasha yakiingia kituo kikuu cha polisi Arusha.

Inawezekana polisi wanajiandaa kuwahadaa wana wa nchi, hasa Wameru wakati wa kampeni. Hii inadhihirisha udhaifu na uvivu wa kufikiri kwa viongozi na watawala wa nchi hii.

Inasikitisha kuona serikali inatumia nguvu kubwa, gharama kubwa kwa ajili ya chaguzi ndogo. Inadhihirisha pia kuwa hii nchi inaongozwa kidikteta.

Where is the freedom of democracy? Where is the people's will? Where is the equal distribution?


maandalizi ya kuvuruga uchaguzi
 
Hata wangeleta magari washawasha 70!

Haki bado haijawahi kushindwa!
Huku si Igunga!
 
Ha ha ha! Ni vyema kama magari hayo yatakuwepo but kama yatakuwepo kwa ajili ya kukandamiza upinzani basi hapo ndipo watakapojua kuwa chadema sisi tunafanya siasa na harakati.
 
Hv nchi nzima hayo magari yenye maji ya kuwasha yapo Dsm peke yake?kwa maana ya kwamba mikoa au majiji mengine hayapo au?kweli hii nchi yetu
 
Maji ya kuwasha yanayotumika Tz yana risasi za moto ndiyo maana kila yalipotumika watu walikufa, hivyo sioni sababu ya serikali kuingia gharama kusafirisha maji hayo kutoka mikoa mingine wakati silaha za moto wanazo za kutosha au ni kutuzuga tu.
 
hakuna ubaya wowote yapo kwa ajili ya usalama, mbona hayo magari yalikuwepo arusha na chadema wakashinda ubunge.
yaani uchaguzi wa meru tutshinda hata makao makuu ya jeshi la police yakihamishiwa arusha..... Police hata wao wanaroho.
 
Thanks mzee mkapa kwa urithi uliotuachia huu wa gari za washawasha we unadhani wapemba wangetulia bila ya hizi drip za washawasha?!!Benjamin William Mkapa you are missed!!!
 
matumizi mabaya ya fedha za umma wakati askari haohao hawajalipwa malimikizo ya stahiki zao

Hao Polisi mnawachukia bure, wao pia wamepigika sana...wanakopwa kila siku,
wanaidai serikali pesa nyingi kuliko hata waalimu...
Wamekuwa ombaomba kila siku wanaomba mafuta ya magari yao ili wafanye doria
Simu za wakuu wa vituo siku hizi hazipokelewi na wenye vituo vya mafuta maana ni ombaomba
Ukienda kituoni kuripoti kesi watakuambia kanunue karatasi, hata karatasi hawapewi...
Hakuna haja ya kuwaogopa maana ndani ya mioyo yao ni wenzetu ila wanaogopa kujionesha hadharani
 
Back
Top Bottom