Hivi Arusha tatizo ni nini?

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,025
Juzi jumapili nimeshuhudia kitu cha ajabu sana!! Huku maeneo ya Sombetini-Ngusero Juzi Jumapili kulikuwa busy sana na mambo ya Ndoa-Sherehe!! Mi nilikuwa town nimeenda zangu kuangalia Mpira, nikarudi kama mida ya saa 3 usiku hivi, sasa wakati tunarudi kwa daladala pale maeneo ya sombetini kuna pick-Up moja ilipakiza watu kama watano hivi nyuma na kulikuw na mandoo kadhaa, (walikuwa wakitoka kwa sherehe bila shaka),na nyuma kulikuwa na gari kama 3 hivi, sasa njia ilikuwa imejifunga na ile pick up ndio ikituletea kauzibe manake ilikuwa inataka kukona ili iende njia ya pembeni so ikawa imenasa katikati, so konda wa daladala kaanza kuzozana na mmoja wa watu wa ile pick-up ili asogeze gari pembeni si tupite....

Hee e bhana bila kutegemea jamaa wa ile pick up si kachomoa bomba(bastola) akaanza kumshurutisha dereva wa daladala arudi nyuma!! Ikabidi dreva awe mpole tukarudi nyuma mpaka kwenye ile gari ya tatu...aise nilishangaa sana!!
Sijajua tatio ni nini jiji la Arusha kutumia Bastola nje nje bila sababu za msingi.

Ona hii nayo https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/562721-risasi-zarindima-arusha.html

N.B: Umiliki wa Bomba uangaliwe upya Arusha!!
 
Arusha ni mkoa ambao nikiwaga hua nahisi niko Ukanda wa Gaza..sinaga amani kabisaaaaaaaaaaaaaa ..kuna mwanangu walimtandika mbaka akafariki kisa demu mzungu club..wanakula sana bange vijana wa chuga..!
 
Ayiiiii wewe.........njoo basi mi nitakuwa guide wako.......Chugga raha namna hii wewe waogopa........
 
Nilipapenda sana lakini dahh..haya nikija utanipeleka wapi kutembea, lol..nimemiss "mvurugo" wa pale kijenge chini..hivi mbwa wano zurula mmewadhibiti?
 
Aisee umenifurahisha sana...huku mi-mbwa kila kona aiseee...mi huwa kazini narudi saa 2 usiku yaani roho mkononi huwa sina amani kabisa...na daily nabeba beki la Laptop...na bado usafiri sijapewa yaani!! Im counting
 
Arusha ni mkoa ambao nikiwaga hua nahisi niko Ukanda wa Gaza..sinaga amani kabisaaaaaaaaaaaaaa ..kuna mwanangu walimtandika mbaka akafariki kisa demu mzungu club..wanakula sana bange vijana wa chuga..!
Aisee pole mkuu....Chuga nouma sana!! Wale jamaa muda wote wanatafuna wigi aiisee
 
Aisee umenifurahisha sana...huku mi-mbwa kila kona aiseee...mi huwa kazini narudi saa 2 usiku yaani roho mkononi huwa sina amani kabisa...na daily nabeba beki la Laptop...na bado usafiri sijapewa yaani!! Im counting

ha ha itabidi ujipange mzee wakikustukia ni nomaa..kuna siku nilikua natoka bar flani maeneo ya kwa mrefu, usafiri hamna..nataka vuka bara bara nikaona kundi la mbwa kama 20 ulabu wote ulinitoka...Kuna Jumapili flani nilikua nakatiza town naelekea mitaa ya kwa mrina bar ..nikawa maeneo ya selian natembea bila wasi wasi kumbe kuna watu wananifuata nikakatisha kwenye kiduka na nunua vocha mmama akanivutia ndani akafunga geti akanambia "mwanangu pumzika hapa..wale jamaa wangekuuaaa ni watu wabaya sana" hee kuchungulia nje washkaj nao wamesimama wananingoja...SITO SAHAU ARUSHAA!
 
Juzi jumapili nimeshuhudia kitu cha ajabu sana!! Huku maeneo ya Sombetini-Ngusero Juzi Jumapili kulikuwa busy sana na mambo ya Ndoa-Sherehe!! Mi nilikuwa town nimeenda zangu kuangalia Mpira, nikarudi kama mida ya saa 3 usiku hivi, sasa wakati tunarudi kwa daladala pale maeneo ya sombetini kuna pick-Up moja ilipakiza watu kama watano hivi nyuma na kulikuw na mandoo kadhaa, (walikuwa wakitoka kwa sherehe bila shaka),na nyuma kulikuwa na gari kama 3 hivi, sasa njia ilikuwa imejifunga na ile pick up ndio ikituletea kauzibe manake ilikuwa inataka kukona ili iende njia ya pembeni so ikawa imenasa katikati, so konda wa daladala kaanza kuzozana na mmoja wa watu wa ile pick-up ili asogeze gari pembeni si tupite....

Hee e bhana bila kutegemea jamaa wa ile pick up si kachomoa bomba(bastola) akaanza kumshurutisha dereva wa daladala arudi nyuma!! Ikabidi dreva awe mpole tukarudi nyuma mpaka kwenye ile gari ya tatu...aise nilishangaa sana!!
Sijajua tatio ni nini jiji la Arusha kutumia Bastola nje nje bila sababu za msingi.

Ona hii nayo https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/562721-risasi-zarindima-arusha.html

N.B: Umiliki wa Bomba uangaliwe upya Arusha!!

Tatizo Ni kuwa Na 'Mabilionea' uchwara...
 
Arusha ni mkoa ambao nikiwaga hua nahisi niko Ukanda wa Gaza..sinaga amani kabisaaaaaaaaaaaaaa ..kuna mwanangu walimtandika mbaka akafariki kisa demu mzungu club..wanakula sana bange vijana wa chuga..!

!
!
By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex....................................Hotuba ya Botha, South Africa
 
Huyo mpuuzi wengi walimchukia lakini kuna ukweli..
 
ha ha itabidi ujipange mzee wakikustukia ni nomaa..kuna siku nilikua natoka bar flani maeneo ya kwa mrefu, usafiri hamna..nataka vuka bara bara nikaona kundi la mbwa kama 20 ulabu wote ulinitoka...Kuna Jumapili flani nilikua nakatiza town naelekea mitaa ya kwa mrina bar ..nikawa maeneo ya selian natembea bila wasi wasi kumbe kuna watu wananifuata nikakatisha kwenye kiduka na nunua vocha mmama akanivutia ndani akafunga geti akanambia "mwanangu pumzika hapa..wale jamaa wangekuuaaa ni watu wabaya sana" hee kuchungulia nje washkaj nao wamesimama wananingoja...SITO SAHAU ARUSHAA!

Mama alikuvuta ndani???? Huko ndani nini kiliendelea??Umeamia hapo hapo?? jamaa bado wapo nje wanakusubiria..
 
Tatizo asilimia 90% ya vijana wa Arusha hawajahi kutoka nje ya mkoa huo.
Route zao Merelani wakipata vijisent ndo wanajitangazia UBILIONEA
 
hata wakifanya siasa wanarushia wenzao matofali, halafu wanapora laptop!
 
ha ha itabidi ujipange mzee wakikustukia ni nomaa..kuna siku nilikua natoka bar flani maeneo ya kwa mrefu, usafiri hamna..nataka vuka bara bara nikaona kundi la mbwa kama 20 ulabu wote ulinitoka...Kuna Jumapili flani nilikua nakatiza town naelekea mitaa ya kwa mrina bar ..nikawa maeneo ya selian natembea bila wasi wasi kumbe kuna watu wananifuata nikakatisha kwenye kiduka na nunua vocha mmama akanivutia ndani akafunga geti akanambia "mwanangu pumzika hapa..wale jamaa wangekuuaaa ni watu wabaya sana" hee kuchungulia nje washkaj nao wamesimama wananingoja...SITO SAHAU ARUSHAA!

We acha woga mbona watu tuko pisi tu hapa labda kama unaingia kwenye anga za watu na unaleta za kule. Kama unachukua mademu wa watu utatolewa tu utumbo nje, na kwanini utembee usiku mkubwa bila usafiri? Watu tunatembea mchana na mausafiri lakini lazima tuwe na mabeto ya hatari ukileta za kuleta tunakumwaga kisusio chaliia angu. Hakuna kuogopana
 
Back
Top Bottom