Kessy Hamisi
Member
- Jun 25, 2012
- 24
- 8
Kuna msichana ambaye nilimaliza naye sekondari kidato cha nne mwaka 2009 mpaka sasa tumemaliza kidato cha sita tukisubiri post za chuo.Aliwahi kunitamkia kuwa ananipenda na mimi nikamkumbalia lakini cha kushangaza sana mapenzi yetu yamekuwa ni ya kwenye simu tu kiasi huwa nakosa muda wa kukaa naye ili tuzungumze juu ya mahusiano yetu na pia nimeshakwenda nyumbani kwao mara nyingi lakini nikimuuliza atakuja lini nyumbani apajue ananipiga kalenda na hata mama yangu anajua nipo naye lakini hajawahi kumuona.Je hivi ni kweli ananipenda au ananipotezea muda? msaada wenu wadau
mmh babu mbona hivyo leo usiku hukutimiziwa mahitaji mpaka unaamka na kashkash hivi.Wanawake wote mama yao mmoja baba yao mmoja,kua uyakute,hilo lako trela tu subiri muvi.
Kuna msichana ambaye nilimaliza naye sekondari kidato cha nne mwaka 2009 mpaka sasa tumemaliza kidato cha sita tukisubiri post za chuo.Aliwahi kunitamkia kuwa ananipenda na mimi nikamkumbalia lakini cha kushangaza sana mapenzi yetu yamekuwa ni ya kwenye simu tu kiasi huwa nakosa muda wa kukaa naye ili tuzungumze juu ya mahusiano yetu na pia nimeshakwenda nyumbani kwao mara nyingi lakini nikimuuliza atakuja lini nyumbani apajue ananipiga kalenda na hata mama yangu anajua nipo naye lakini hajawahi kumuona.Je hivi ni kweli ananipenda au ananipotezea muda? msaada wenu wadau
Ongea nae face to face,mueleze how you feel kutokana na the way anavyokupiga kalenda,muulize kama anakupenda kweli au lah! From there utajua pa kuanzia..
Tafuta muda ukae nae kwa muda mrefu ili muongee hayo mambo mkiwa mmetulia bila haraka. Unajua unapokaa na mtu mda mrefu kidogo ndo unaweza kugundu chochote. Ila kwenye simu mtu anaweza kutoa maneno ambayo hayaendani na body movement.
Mwanamke suti kujishebedua kidogo.....
Kwani lazima aje kwenu ndo ujue anakupenda? Si huwa unaenda kwao Na mnaongea? Unataka aje kwenu ukapige mandingo?
Nyie watu mbona mnamfundisha huyu mtoto tabia mbaya? Mwambieni akasome. Mnamsoma huyu great thinker mwenzangu hapa chini?Anakupenda ila hujajua....
nenda chuo na weka elimu mbele ukija kupata kari au ukawa na hela atakuja mwenyewe ,do u remember baby i told u i love u so much that time ,sasa hapo unamwambia unakumbuka zile kalender????????????????