Hivi Ameoa au Ameolewa?

Aisee hiyo nimeipenda sana,kuna siku nilibeba mwanangu mgongoni(bila kanga) tukiwa na mama yake,tulivyokuwa tunapita mtaani watu walikuwa wanashangaa,wengine walifurahia hicho kitendo.Kwa hapo sioni kama jamaa kaolewa ni mambo ya kawaida na ni uamzi.
 
Wa Kushoto....ameolewa
Wa kulia.........ameoa.
 
ah vzr km wanatembea distance ndefu mama ndo abebe peke yk!vzr kusaidiana
 
na maranyingi ukiona hivi, ujue mtoto anaumwa anapelekwa hospital fulani,,, ma baba wa ukweli huwa wanapenda sana kubeba watoto wakiwa kwenye hali hii na mazingira hayo ya afya ya mtoto
 
Kama ndo hivi naanza kusambaza kadi za mchango, invisible tangaza
tarehe ya kikao cha kwanza na venue. Mbuzi mzee mwenyekiti wa kamati.
 
wamewowa each other.......
 
Jambo la uhakika ni kwamba hiyo familia siyo ya watu wa Mkoa wa Mara Wilaya za Tarime, Serengeti na Bunda.
 
Sio bure ipo namna

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
it all depends on how you take it
 
Issue ni kubeba mtoto au kubeba mgongoni kwa kutumia kanga?
 














Sharing responsibilites, sasa anatofauti gani na hawa....acheni mawazo ya kizamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…