Mbona Ester Matiko naye alikuwa kwenye ziara ya kibunge, huko huko Burundi, ziara ambayo hata Spika Ndugai alikuwa anaijua na aliibariki, lakini Hakimu Mashauri akaamua kuwafutia dhamana hao akina Matiko??
Spika kujua kuwa Ester Matiko yuko kwenye ziara ya kibunge haina maana yoyote kwenye Mahakama. Kumbuka Mahakama ni muhimili mwingine unaojitegemea ambao una sheria na taratibu zake.Mbona Ester Matiko naye alikuwa kwenye ziara ya kibunge, huko huko Burundi, ziara ambayo hata Spika Ndugai alikuwa anaijua, lakini Hakimu Mashauri akaamua kuwafutia dhamana hao akina Matiko??
Ndipo hapo ninaposema kuwa ni lazima katika maamuzi hayo upo mkono wa Jiwe
Utazunguka, lakini ukweli utabaki pale pale, kuwa kukaa kwao rumande kina Matiko, kuna harufu ya mhimili wa Executive kuingilia mhimili wa mahakamaSpika kujua kuwa Ester Matiko yuko kwenye ziara ya kibunge haina maana yoyote kwenye Mahakama. Kumbuka Mahakama ni muhimili mwingine unaojitegemea ambao una sheria na taratibu zake.
Fundisho alilopata Ester Matiko ndilo ambalo ametumia Mdee kama darasa.
Mimi nimekupa ushahidi halisi lakini wewe unaleta hisia.Utazunguka, lakini ukweli utabaki pale pale, kuwa kukaa kwao rumande kina Matiko, kuna harufu ya mhimili wa Executive kuingilia mhimili wa mahakama
Refer kauli aliyoitoa Magufuli Siku za nyuma, kuwa mhimili wake ndiyo ambao uko "superior" kwa kuwa ndiyo uliojichimbia zaidi chini!
Anaongea yaliyo moyoni mwakeMbona alisema pale udsm wataendelea kukaa jela, na alimtuma lowassa awapelekee ujumbe
Je sheria inasemaje kuhusu muda wa kuandamana?Hata ukiangalia chimbuko la kesi yenyewe, utagundua kuwa ni kesi ya kisiasa na wala siyo ya jinai, kama wanavyodai Polisi
Polisi wanadai kuwa Chadema waliitisha maandamano bila kibali chao.
Hivi hao Polisi watuambie ni katika ibara ipi ya Katiba ya Jamhuri inayowapa wao kibali cha kutoa kibali cha maandamano??
Kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 20, inaeleza kuwa maandamano ya amani ni ruksa kufanyika, Bali wao Polisi wanachotakiwa ni kutoa ulinzi pekee
Uzuri tuna Rais ambaye huwa anaongea ya moyoni mwake......Mbona alisema pale udsm wataendelea kukaa jela, na alimtuma lowassa awapelekee ujumbe
Wakati anatuma yale maselfie akiwa dubai na ubelgiji ndio ilikuwa kipindi cha kupiga kelele lakini mlikuwa mkishangalia sasa wacheni kulia na sheria mlioichezea!Tunafahamu kuwa Mbowe ni kiongozi mkubwa kabisa wa nchi hii, akiwa ni Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na pia ni mbunge aliyechaguliwa na wananchi wa Hai, mkoani Kilimanjaro
Naye Ester Matiko ni mbunge aliyechaguliwa na wananchi, kwa tiketi ya Chadema, kwa jimbo la Tarime mjini
Hao viongozi wakubwa kabisa wa Chama kikuu cha upinzani nchini, wanaendelea kusota gerezani kwa wiki ya 3 hivi sasa kwa kile ambacho Hakimu Mashauri wa mahakama ya Kisutu amekiita kuwa wameidharau mahakama na hivyo kuamua kufuta dhamana yao
Tunafahamu kuwa kwa kupitia wadhamini wao walishaiarifu mahakama kuhusu udhuru wao wa kutoweza kuhudhuria mahakama hiyo katika Siku hiyo husika
Tukumbike pia katika ufunguzi wa maktaba mpya ya Chuo kikuu cha Dar, Rais Magufuli alitumia jukwaa lile kwa kumpa salaam Mheshimiwa Lowassa kuwa awaambie viongozi wenzie wa Chadema, kuwa wataozea jela iwapo wataendelea kumis- behave!
Kwanza tutambue kuwa hao akina Mbowe ni watu maarufu nchini kwa hiyo hakuna uwezekano wa kuziruka dhamana zao
Tukumbuke pia huyo Hakimu Mashauri, hao watuhumiwa akina Mbowe walishatuma ombi la kumkataa Hakimu huyo kuendelea kusikiliza Shauri lao kutokana na mwenendo wa kesi hiyo wanavyouona, ambapo Hakimu huyo anaonyesha upendeleo wa wazi kwa waleta mashitaka, ambao ni serikali, lakini cha kushangaza huyo Hakimu akagoma kujitoa na kuamua kuing'ang'ania kesi hiyo kama ruba!
Ndipo hapo tunapojiuliza hivi kuendelea kusota rumande kwa akina Mbowe, ni kukomolewa na serikali??
Hivi wewe unaona maandamano ya Chadema yalikuwa hayana msingi?Msimu huu hakuna hizo mambo. Wacha watu wachape kazi sio kuwaandamanisha kila siku. Kwa hali iliyopo UFIPA mambo yangekuwa hivi
1. Elimu bure- Maandamano
2. Flyover - Maandamano
3. SGR-Maandamano
4. Wafanyakazi hewa -Maandamano
5. Mafisadi wakikamatwa- Maandamano
6. Kununua korosho- Maandamano
7. Kuimarisha bandari- Vita kamili
8. Safari za nje zisizo na tija- Maandamano
9.Uhakika bei ya pamba- Maandamano
10. Madawati- Maandamano
11. Ujenzi wa vituo vya afya- vyanini? - vita
12. Spidi ujenzi umeme vijijini - Maandamano
Aiseee acheni kulialia fanyeni kazi. Hata huko tulikorithi mifumo hii ya tawala za vyama vingi vya siasa watu wao wanafanya kazi. Huwa wanaandamana panapokuwa na mambo ya msingi ambapo panalazimika kuishinikiza serikali. Leo ufaransa wanaharibu taswira ya mji wa Paris kwa wanaoniija Yellow vests kuchoma magari na mali za watu. Hasara zinazokadiriwa kusababishwa na maandamano ya muda mfuoi tu ni zaidi ya dollar bilioni moja sawa na madafu zaidi ya Trillion 2.6. Serikali yetu hasa ya awamu ya tano ni sikivu na hasa kama kuna hoja zinazogusa wanyonge majibu yamekuwa yakitoka mubashara kabisa. Niwaombe watanzania tuendeleeni kumuunga mkono mheshimiwa Rais wetu John MAGUFULI kwa kuchapa kazi.
Tukumbuke pia huyo Hakimu Mashauri, hao watuhumiwa akina Mbowe walishatuma ombi la kumkataa Hakimu huyo kuendelea kusikiliza Shauri lao kutokana na mwenendo wa kesi hiyo wanavyouona, ambapo Hakimu huyo anaonyesha upendeleo wa wazi kwa waleta mashitaka, ambao ni serikali, lakini cha kushangaza huyo Hakimu akagoma kujitoa na kuamua kuing'ang'ania kesi hiyo kama ruba!
Mbona walishaachiwa huru tangu jana?Tunafahamu kuwa Mbowe ni kiongozi mkubwa kabisa wa nchi hii, akiwa ni Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na pia ni mbunge aliyechaguliwa na wananchi wa Hai, mkoani Kilimanjaro
Naye Ester Matiko ni mbunge aliyechaguliwa na wananchi, kwa tiketi ya Chadema, kwa jimbo la Tarime mjini
Hao viongozi wakubwa kabisa wa Chama kikuu cha upinzani nchini, wanaendelea kusota gerezani kwa wiki ya 3 hivi sasa kwa kile ambacho Hakimu Mashauri wa mahakama ya Kisutu amekiita kuwa wameidharau mahakama na hivyo kuamua kufuta dhamana yao
Tunafahamu kuwa kwa kupitia wadhamini wao walishaiarifu mahakama kuhusu udhuru wao wa kutoweza kuhudhuria mahakama hiyo katika Siku hiyo husika
Tukumbike pia katika ufunguzi wa maktaba mpya ya Chuo kikuu cha Dar, Rais Magufuli alitumia jukwaa lile kwa kumpa salaam Mheshimiwa Lowassa kuwa awaambie viongozi wenzie wa Chadema, kuwa wataozea jela iwapo wataendelea kumis- behave!
Kwanza tutambue kuwa hao akina Mbowe ni watu maarufu nchini kwa hiyo hakuna uwezekano wa kuziruka dhamana zao
Tukumbuke pia huyo Hakimu Mashauri, hao watuhumiwa akina Mbowe walishatuma ombi la kumkataa Hakimu huyo kuendelea kusikiliza Shauri lao kutokana na mwenendo wa kesi hiyo wanavyouona, ambapo Hakimu huyo anaonyesha upendeleo wa wazi kwa waleta mashitaka, ambao ni serikali, lakini cha kushangaza huyo Hakimu akagoma kujitoa na kuamua kuing'ang'ania kesi hiyo kama ruba!
Ndipo hapo tunapojiuliza hivi kuendelea kusota rumande kwa akina Mbowe, ni kukomolewa na serikali??
Akili yako wewe jamaa ni ya kipimb***** sana.Kama unakiri kuwa polisi wanatakiwa wapewe taarifa, je una barua yyt ya chadema kuitaarifu polisi kuwa wanaandamana tena zaid ya saa 12 jioni na wanahitaji ulinzi?Hivi huko ufipa kwanini mnapenda kujitoa ufaham?Hata ukiangalia chimbuko la kesi yenyewe, utagundua kuwa ni kesi ya kisiasa na wala siyo ya jinai, kama wanavyodai Polisi
Polisi wanadai kuwa Chadema waliitisha maandamano bila kibali chao.
Hivi hao Polisi watuambie ni katika ibara ipi ya Katiba ya Jamhuri inayowapa wao kibali cha kutoa kibali cha maandamano??
Kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 20, inaeleza kuwa maandamano ya amani ni ruksa kufanyika, Bali wao Polisi wanachotakiwa ni kutoa ulinzi pekee
Haya yote ni Mapito tu. Kila jambo lina mwisho wake walikuwepo makatili Wa kutisha, lakini wote wamepita, na hawa pia watapita.Tunafahamu kuwa Mbowe ni kiongozi mkubwa kabisa wa nchi hii, akiwa ni Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na pia ni mbunge aliyechaguliwa na wananchi wa Hai, mkoani Kilimanjaro