Mvua Ya Kiangaz JF-Expert Member May 24, 2011 308 144 May 25, 2011 #21 Bollo Yang said: Mtaongea sana Click to expand... Siasa ni kitu kimoja,uwezo na haiba ya mwanasiasa ni kitu kingine lakini ili uwe mwanasiasa mzuri ni lazima uuvae uana siasa yaani uwe tayari hata kutabasamu ktk jambo ambalo unapaswa kukunja ndita[hypocricy] bila hilo hakuna siasa wala mwanasiasa, Nape anatimiza siasa na uanasiasa. "ROMA LOCUTA,CAUSA FINITA"
Bollo Yang said: Mtaongea sana Click to expand... Siasa ni kitu kimoja,uwezo na haiba ya mwanasiasa ni kitu kingine lakini ili uwe mwanasiasa mzuri ni lazima uuvae uana siasa yaani uwe tayari hata kutabasamu ktk jambo ambalo unapaswa kukunja ndita[hypocricy] bila hilo hakuna siasa wala mwanasiasa, Nape anatimiza siasa na uanasiasa. "ROMA LOCUTA,CAUSA FINITA"