Hivi Adam Malima bado ni Naibu waziri?

Hivi Adam Malima bado ni Naibu waziri?

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,756
Reaction score
2,645
Kama kuna kitu huwa kinashangaza katika utwala wa Rais Kikwete ni pale anapoteua mawaziri. Hebu angalia huyu Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, kweli kulikuwa na sababu ya kumpa nafasi hiyo? Kulikuwa na sababu gani kuweka mawaziri watatu pale?

Angalau Mwigulu Nchemba anachapa kazi hata kama ana lengo la kuwania urais, lakini huyu Malima!

Alianza kuwa Naibu Waziri Nishati na Madini, wakabwagwa. Akaingia kwenye Kilimo, hakuna kilichofanyika zaidi ya kuitwa mzigo. Sasa kaletwa wizara ya fedha ndio kabisa kazimika.

Najiuliza, hivi JK anaona sifa gani za kuendelea kumpa wizara huyu jamaa?
 
huyu ndo yule aliibiwa vitu na mwanamke kwenye hoteli morogoro
 
Hakuna kigezo mkuuu wezi huwa na tabia za kulindana kwa kuchaguana wenyewe kwa wenyewe mawaziri na waziri mkuu wote ni mizigo.
 
Hakuna kigezo mkuuu wezi huwa na tabia za kulindana kwa kuchaguana wenyewe kwa wenyewe mawaziri na waziri mkuu wote ni mizigo.
naona tuhuma zisizo na kichwa wala miguu, taja huo wizi wa Malima na sio kutoka mapovu tu humu.
ungesema ccm wanalipa fadhila kwa sababu ya uwezekano wa wao kumkolimba baba yake ningekuelewa.
 
naona na tuhuma zisizo kichwa wala miguu, taja huo wizi wa Malima na sio kutoka mapovu tu humu.
ungesema ccm wanalipa fadhila kwa sababu ya uwezekano wa wao kumkolimba baba yake ningekuelewa.
sijasema malima mwinzi huyu malaya alitapeliwa pesa na laptop hotelini morogoro unatetea wafu wenzako ccm ukoo wa panya wote wezi wakubwa rudisheni kwanza pesa zetu za escrow.
 
Ndiyo. Nimeona yuko Arusha kwenye mkutano wa wahasibu na CAG mpya
 
Ana kazi maalum kwani ukiona mtu anatembea akiwa na SMG, Bastora na fedha nyingi tena za kigeni ujue ana kazi nyingine tofauti na hiyo.
 
kidamva wewe unawataka mawaziri wanaofanya kazi na vyombo vya habari???..kwa taarifa yako mheshimiwa adam malima yuko Arusha kikazi na leo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe ya kuwapa tuzo taasisi zilizotoa mahesabu yao vizuri.. na alikuwa huko toka jumatatu akiutumikia umma wa watanzania katika maeneo yake aliyopangiwa.
Kama kuna kitu huwa kinashangaza katika utwala wa Rais Kikwete ni pale anapoteua mawaziri. Hebu angalia huyu Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, kweli kulikuwa na sababu ya kumpa nafasi hiyo? Kulikuwa na sababu gani kuweka mawaziri watatu pale?

Angalau Mwigulu Nchemba anachapa kazi hata kama ana lengo la kuwania urais, lakini huyu Malima!

Alianza kuwa Naibu Waziri Nishati na Madini, wakabwagwa. Akaingia kwenye Kilimo, hakuna kilichofanyika zaidi ya kuitwa mzigo. Sasa kaletwa wizara ya fedha ndio kabisa kazimika.

Najiuliza, hivi JK anaona sifa gani za kuendelea kumpa wizara huyu jamaa?
 
JK msanii sana, anawapoza familia Ya Prof Malima! Maana yeye alienda kurudisha mipesa yake UK! Prof akafa kwA pressure;
 
JK ana moyo wa huruma kama binadamu, lakini siyo moyo wa uongozi wa nchi. JK alisababaisha Prof Malima kufa kwa mstuko wa moyo kwa hivyo kama binadamu aliazimika kuipoza familia ya Malima kwa hicho cheo.
 
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.

Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!

Manjagu bado yanafuatilia issue hii nzima!

Source: Radio One, muda 13:14 pm

Hoteli yenyewe ndio hii hapa kama inavyoonekana

View attachment 48953

Hii hapa tena

View attachment 48954

kwa mlinzi getini

View attachment 48955

WAZIRI+MALIMA+KWENYE+KANZU..JPG
mbona dirisha lenyewe,halionekani kuvunjwa au forced entry?? au sio lenyewe??? nimeitoa kwa michuzi loh

hatari sana kwa kweli....
 
Huyu jamaa ni ziro tu ndo maana anapewa u-naibu Waziri tu.Alikuwa Naibu Waziri wa nishati lakini hata kijiji kilicho mita mia moja tu kutoka kijiji chenye umeme ameshindwa kufikisha umeme mpaka leo Naibu wa fedha.

Jimboni kwake Mkuranga mwaka huu ana taabu sana maana UKAWA wamechukua mitaa mingi na hata ndani ya chama chake kuna watu wanaotaka kuchukua fomu wenye ushawishi mkubwa.Mwaka huu kazi anayo na huwa yeye anapitaga kwa mbinu chafu ikiwamo kuhonga pesa.
 
duuuh kaja kimya kimya,kule alitangaza ndo coz wakamwibia kale ka-e.k.e.i-4te 7,sijui kweli?anyway iv ameshatia nia?anaweza kumkabili umati Edo wa mabasi?
 
Back
Top Bottom