booyaca619
Member
- Apr 22, 2017
- 19
- 3
Hanvar zenu wanajamii naomba msaada wenu waawazo je ukishikwa sehemu uliochomwa sindano wakati bado damu inatoka kwenye mshipa na muathirika akikushika na kuusugua mshipa unaotoa damu kwa vidole vyake bila ya glove wala pamba unaweza kupata maambukizi ya vvu