pinno JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 1,213 Reaction score 1,233 Mar 31, 2019 #1 Mnyama wa kkoo atavaana na huyu Mkongo hivi karibuni Swali langu hivi TP Mazembe keshawah cheza hapa Taifa? Na timu gan? Mwaka gan? Na michuano gan? Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyama wa kkoo atavaana na huyu Mkongo hivi karibuni Swali langu hivi TP Mazembe keshawah cheza hapa Taifa? Na timu gan? Mwaka gan? Na michuano gan? Sent using Jamii Forums mobile app
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,591 Mar 31, 2019 #2 Kashacheza na Simba, tukamwondoa kwa ushindi wa mezani tukaenda kucheza na Esperance tukapigwa nyingi. Alishawahi kucheza na Yanga, Manji akawalipia vyura wote kuingia bure.
Kashacheza na Simba, tukamwondoa kwa ushindi wa mezani tukaenda kucheza na Esperance tukapigwa nyingi. Alishawahi kucheza na Yanga, Manji akawalipia vyura wote kuingia bure.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,152 Mar 31, 2019 #3 pinno said: Mnyama wa kkoo atavaana na huyu Mkongo hivi karibuni Swali langu hivi TP Mazembe keshawah cheza hapa Taifa? Na timu gan? Mwaka gan? Na michuano gan? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ashacheza ndio
pinno said: Mnyama wa kkoo atavaana na huyu Mkongo hivi karibuni Swali langu hivi TP Mazembe keshawah cheza hapa Taifa? Na timu gan? Mwaka gan? Na michuano gan? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ashacheza ndio
kambitza JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,045 Reaction score 1,325 Apr 1, 2019 #4 Samatta aliwalaza na viatu siku hiyo na wakamnunua baada ya game Sent from my iPhone using JamiiForums
Samatta aliwalaza na viatu siku hiyo na wakamnunua baada ya game Sent from my iPhone using JamiiForums
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,441 Reaction score 38,416 Apr 1, 2019 #5 Tuliwakimbiza! Ndio sababu Samagoal kwenda TP Mazembe!