hiv ni kweli kuna awamu ya 3 wanafunzi waliomaliza kidato cha 6 kwenda jkt??

cantonna

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,120
439
kuna tetes zimezagaa kitaa eti kuna awamu nyingine ya kwenda jkt baada ya kurud hawa wanaoingia tareh 24 mwez huu na awamu hiyo itaingia jkt mwez wa kumi mwanzon had wa 12 mwishoni afu chuo wakwanza!jaman hv hz taarifa zitakuwa na ukweli ndan yake?!?
 
Back
Top Bottom