HIV na undugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HIV na undugu

Discussion in 'JF Doctor' started by mamasuma, Jul 25, 2012.

 1. m

  mamasuma Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wadau, mie sijui ndo kusema sijapata elimu ya ukimwi kisawasawa ama vipi, yaani nina mgeni nyumbani kwangu ambae ni ndugu na ana mtoto mdogo sasa wote wapo positive yaani yeye/mama na mtoto wake, sasa namie nina mtoto mdogo 4years ambae tangu wageni hao waje amekuwa kicheza sana na yule mtoto mgeni ambaye naye ana HIV,

  Sasa juzi nimeishiwa nguvu nakuta wanalishana pipi yaan hiyo pipi ilikuwa ya yule mtoto mgonjwa kwahiyo analamba huyu then analamba huyu!

  yaani nina mawazo saana maana nafikiria sijui nifanyeje maana kumtoa mgeni ngumu na mtoto wangu nae anasoma so kumtoa naye changamoto, sasa nisaidieni hapo*mambukizi yanakuwaje na je kuchangia sabuni ya kuogea napo vipi, sorry kwa nitakaowakwaza kwa swali ukweli ni kuwa sielewi*
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  wewe dada usichezee kaa la moto wewe huyo mtoto atakuja kukulaumu sana akipata ugonjwa kwenye hayo mazingira hebu kuwa serious wewe mkuu . ukimwi usikie kwa watu tu ukikugongea hodi utajuta usiwatenge ila angalia sana nimeshuka mpka najikuta povu linatoka
   
 3. client3

  client3 JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  pole sana......sijui cha kukushauri ila kuwa makini sana kwa kila move ya mtoto.
   
 4. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  kuna taarifa zilitoka hivi karibuni kwamba kuna uwezekano ukimwi unaambukizwa kwa mate pia mkuu...so chukua hatua mapema aisee...
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,930
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Jiulize yafuatayo pia:
  - Wewe mwenyewe 'umepima'? Mtoto wako 'amepima'?
  - Unasema mtoto wako anasoma, je huko shuleni au hata hapo nyumbani watoto wote anaocheza nao unajua HIV status zao? Ninaweza kusema kwa asilimia 99 kuwa hujui status za wengi wao lakini hilo halijawahi kukupa shida na hukuwahi kufikiria kumzuia mwanao asicheze na hao ambao hujui status zao. Kwa nini?
   
 6. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  swali gumu sana kulitolea ushauri ila kuwa makini wewe na familia yako.kuna jamaa yangu aliambikizwa kwa kumuhudumia ndugu yake..matokeo yake ukaenda kwa mumuewe then na kwa mtoto aliyekuwa tumboni mwa mama yake bado..kwa hiyo familia yote hikiwa affected kwa sababu ya kutoa msaada kwa ndugu amabaye kwa sasa alikwisha fariki.
   
 7. m

  muhinda JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Nakuomba sana uchukue hatua.
  hii imemtokea rafiki yangu wa karibu, mtoto wake ambaye sasa ni marehemu, alipata infection kutoka kwa cousin yake.
  yaani watoto walikuwa wanatembeleana wakati wa likizo, wakawa wanachangia kila kitu, kuanzia mataulo, wanaoga pamoja, wanacheza you name it. yule mtoto mwingine alishaanza kuugua maana alikuwa mpaka na mapele. Japokuwa wazazi wa mtoto aliyeugua mwanzo walijua status yake, hawakuchukua hatua madhubuti kumprotect huyu mwingine. matokeo yake mtoto akaambukizwa. it is sad story kwa kweli. inabidi na watoto wetu tuanze kuwaelimisha tangu wadogo.

  huku kujifanya tusiwatenge inabidi tuwe na mipaka especially when children are involved.

  take care
   
 8. a

  arinaswi Senior Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pole sana ndg. inasemekana ukimwi hauenezwi kwa njia ya mate endapo ni amount ndogo tu inayochangiwa. ILA kama mwanao ana kidonda mdomoni, then uwezekano wa kuupata ni mkubwa maradufu kwa kulamba hata mate kidogo. pia kama huyo mtoto mwingine angekuwa kwenye dawa za ARV labda ingepunguza chances za kumuambukiza mwanao.

  la kufanya ni kuongeza uwazi zaidi kati yenu since ume insist huwezi kuwaondoa hao wagonjwa. muweke mwanao wazi na huyo ndugu yako nae ajiweke wazi pamoja na mwanae.

  lingine mkapime wewe pamoja na mwanao na huko mtapewa ushauri zaidi kuhusiana na janga hili.

  La msingi ni kwamba kwa vile umeamua kuishi nao basi uwe very VIGILANT. najua mtoto hachungiki but itakubidi ufanye kazi ya ziada kumchunga mwanao.

  I am very sorry that my answers are not too direct but you need to take action early.
   
Loading...