Ziwe edited, ziwe painted no one cares!. The most important ni kwamba familia yao ni adui wa taifa. Kwanza tangu lini kile kijimama kikawa kirefu kuliko vasco?
nadhani unaendeshwa na akili ya mbowe ohoo mwenzenu mpiga dili tu yule na nadhani uliaminishwa lowasa atakua raisi wa Tanzania anyway ni mtazamo wako
Ziwe edited, ziwe painted no one cares!. The most important ni kwamba familia yao ni adui wa taifa. Kwanza tangu lini kile kijimama kikawa kirefu kuliko vasco?
Adui wa wavivu, kama JK kamaliza muda wake na wewe ni mtu mzima haujafanya cha maana, haujajenga, haujanunua kiwanja, haujanunua shamba, haujaanza maisha ya familia, haujaanza kujitegemea, haujajiajiri au kuajiriwa, sahau!Ziwe edited, ziwe painted no one cares!. The most important ni kwamba familia yao ni adui wa taifa. Kwanza tangu lini kile kijimama kikawa kirefu kuliko vasco?
Halafu hiyo shopping mbona Sioni wamebeba kitu chochote walichonunua zaidi ya mama kuchukua kipima joto chake! Au trolley limetangulia???
katika watu ambao hawajui hata wanachofanya na wanacho taka kufanya na asie na kazi za kufanya ni huyu aliye kaa chini sijui katumia masaa mangapi akatoa product kama hiyo, unajua ni heri upoteze muda kutumia taaluma yako hata kama ni ya ku edit utoe kitu kinacho endana na ulicho fikiria kufanya kuliko huu upuuzi
Kina roho mbaya linapokuja suala la kumfitini mtu, ni balaa. Kilimfitini Salim A. Salim hana hamu. Kimemfitini Lowasa usipime. Chuo chake cha fitina kipo kariakoo Saigon, kingine kipo Bagamoyo. Akili ya maendeleo ni ziro, ila kwa kukopa bila mpango kinaongoza duniani. Safari sisemi kitu.
Mlimani City na Kikwete... KAma Hawajakanyaga Chini vile. Na Ni weupe kuliko Wengine