HIV AIDS - Fact Or Fraud


Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
39
Points
0
Mtazamaji

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 39 0
Nimetazama clip moja google nimeona niwaleteee hapa ili wataalamu wa afya nanyi mtoe maoni yenu.

Kuna hoja niliwai kusikia rais mbeki wakati ule alisema kuwa HIV haisababishie ukimwi. Naamini sasa kuwa maneno ya rais mbeki wakati ule yalitokana na kuangalia , kusikiliza na kushawishika kuwa ukweli AIDS haisababishwi na HIV

Baadhi ya nakuu kwenye hii clip ni
  • ow USA gave AIDS to the world
  • AIDs reasearch has not failed bcs it never found a cure but AIDs reasearch has failed bcs it never found a cause
  • Hundered of thousand of ppl have been given toxic drugs treatment some of which cause AIDS itself

Angalieni clip kwenye link hii
http://video.google.com/videoplay?docid=-8142733917997460212#
 

Forum statistics

Threads 1,205,462
Members 457,927
Posts 28,194,972