Hitwe ni mtandao gani?

Umeliwa bro. Wala.usije ukathubutu. Kama huamini tuma.
 
HII CHAI
Ulimwanbia aje kwenu afu mwishoni ..ukaandika aje kwako wakati unaishi kwenu
 
Fanya kazi mapenzi yatakulostisha hizi issue ni za kijinga ulizouliza.
 
Mwambie akope aje kisha utam-refund akifika kwako
 
mahusiano ya mtandaoni ful kurisk ila vilevile nisingekushauri siku ya kwanza aje kwako ni bora nyumba ya wageni, na vya kurushiana pesa mmmh atumie zake utamrudishia
 
Hizi nyuzi nyingine wala hata sio za kukomenti ushauri
 
Inaelekea mtoa mada ni mfuasi wa chama Fulani cha kijani au rangi ya mbogamboga nchini tz
 
Mkuu hapo kwenye nyongeza za picha zake ameziba mdomo pawekee mabano na kiulizo.
Atakuwa shoga huyo, nilishakumbana na mse*ge mmoja fb mwenye swaga hizo niliishia kumblock.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…