Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,196
- 4,781
Humu wamejaa great.thinkers wenye maono kataa wahuniNdiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini kinachotofautiana na mawazo au uelewa wa mwanaJF. Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani wanaipenda haswaa.
Habari za gwajima na polepole na michango inayoendelea kuteremka humu kuhusu watu hao na furaha waliyonayo wapinzani, hususani chadema, vinathibitisha hivyo kuwa mioyoni mwao ipo ccm tu. Nimegundua ule ushindi wa 90+% ni sawa kabisa na sitoshangaa hata kidogo ikifika 100%. Usikimbilie kubisha kabla ya kuchunguza kwanza.
Mgombea uraisi mwenye sifa halafu iruhusu mabadiliko ili wapatikane wabunge wa kuchaguliwa na wananchi nasio chamaUlikuwa hujui hilo mkuu? Na sio JF tu hata nje ya JF watanzania wote ni CCM. Hakuna mtanzania anapenda kuona CCM dhaifu ndo maana kwa wakati huu kelele ni kubwa kutoka kwa wanaojiita wapinzani kutaka CCM iteue wagombea ubunge wenye sifa.
Nimeghaili safari yangu ngoja niketi sofani nisome maoni ya wachangiaji wa hii Nondo aise.Ndiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini kinachotofautiana na mawazo au uelewa wa mwanaJF. Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani wanaipenda haswaa.
Habari za gwajima na polepole na michango inayoendelea kuteremka humu kuhusu watu hao na furaha waliyonayo wapinzani, hususani chadema, vinathibitisha hivyo kuwa mioyoni mwao ipo ccm tu. Nimegundua ule ushindi wa 90+% ni sawa kabisa na sitoshangaa hata kidogo ikifika 100%. Usikimbilie kubisha kabla ya kuchunguza kwanza.
Kwa hiyo lucas siyo CCM? Habubujikwi na machozi?utakuwa mda wake sahihi wa kutekwaNdiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini kinachotofautiana na mawazo au uelewa wa mwanaJF. Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani wanaipenda haswaa.
Habari za gwajima na polepole na michango inayoendelea kuteremka humu kuhusu watu hao na furaha waliyonayo wapinzani, hususani chadema, vinathibitisha hivyo kuwa mioyoni mwao ipo ccm tu. Nimegundua ule ushindi wa 90+% ni sawa kabisa na sitoshangaa hata kidogo ikifika 100%. Usikimbilie kubisha kabla ya kuchunguza kwanza.
Ccm inategemeaUlikuwa hujui hilo mkuu? Na sio JF tu hata nje ya JF watanzania wote ni CCM. Hakuna mtanzania anapenda kuona CCM dhaifu ndo maana kwa wakati huu kelele ni kubwa kutoka kwa wanaojiita wapinzani kutaka CCM iteue wagombea ubunge wenye sifa.
Ni kwenda kuchukua kadi ya chama na kuanza kuhudhuria vikao vyao, unakua unawapa changamoto za hapa na pale hadi waelewe.JK Akifa nitajiunga CCM
Hivyo yaan👊Unachofeli kukitambua ni kwamba;JF wengi ni WATANZANIA.
Wewe ndo unamashaka naye CCM wanajua Lisu ni mzalendo Hana doa wakimwacha anaangusha CCM asubuhiKamaa ukifanya yale watanzania wanataka, ushindi huo ni lazima upate hata asilimia 99unapata.
Shida inakuja pale utakapofanya kinyume na matakwa ya watanzania na wao wanataka chama chao kifanye vizuri na si vinginevyo.
Upinzani bado hawajajipanga, upinzani mwaka huu ungekua kama ule wa 2015, upinzani wa bila Lowasa na Mbowe, wangebeba nchi mapema sana.
Lisu pamoja na kua mpinzani anaejitoa, watu wanamashaka na uzalendo wake. Lisu si kama Mrema wa NCCR Mageuzi enzi za miaka ya 1995
Kwa hio usaidiwe vipi?Ndiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini kinachotofautiana na mawazo au uelewa wa mwanaJF. Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani wanaipenda haswaa.