Uwezo wao umeishia hapo. Sitashangaa kusikia na kuona Mayanja akitumbuliwa baada ya mechi ya leo.Hayo matokeo ya simba si bure! kuna wachezaji hapo watakua wameuza mechi tu! ngoja tusubiri dk.90!! Haiwezekani simba iwe gonjwa gonjwa kiasi hiki!!
Hawabebwi.! Wamewafunika simbaHao JKT wanabebwa?
Mwasaka mchawiHayo matokeo ya simba si bure! kuna wachezaji hapo watakua wameuza mechi tu! ngoja tusubiri dk.90!! Haiwezekani simba iwe gonjwa gonjwa kiasi hiki!!
Uwezo wao umeishia hapo. Sitashangaa kusikia na kuona Mayanja akitumbuliwa baada ya mechi ya leo.
OK asanteni kwa kushiriki ligi kuuHawabebwi.! Wamewafunika simba
Mwasaka mchawi
HT: Kagera na Mwadui 0-0.Mwadui na Kagera Sugar matokeo vipi?
Wakuu mechi ya Yanga inaoneshwa?