MPENDE mkewe Kama kanisa .Kanisani ndio kuna vituko balaa.Efeso5:25 enyi waume wapendeni wake zenu kama Kristo naye alivyolipenda kanisa
Efeso5:22 enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu
Na hii ni two way traffic.ukimpenda mke wako kwa dhati automatic atakutii na kukuheshimu na mwanamke ukimtii mumeo nae ataongeza upendo so kila mmoja atake his or her responsibilities na mkifanya hivyo malalamishi yataisha humu jukwaani.
asanteni
kupinga muhimuNa hapo kuna watakaopinga
Tatizo noti, Lowasa anaposema anachukia umaskini hamtaki kumuelewa, pesa inaleta utulivu kwenye familia.Efeso5:25 enyi waume wapendeni wake zenu kama Kristo naye alivyolipenda kanisa
Efeso5:22 enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu
Na hii ni two way traffic ukimpenda mke wako kwa dhati automatic atakutii na kukuheshimu na mwanamke ukimtii mumeo nae ataongeza upendo so kila mmoja atake his or her responsibilities na mkifanya hivyo malalamishi yataisha humu jukwaani.
Asanteni
hustahili kuitwa Peter
kumbe altare, ungepanda madhabauni ndo ungenielewa vizuri
hawa wanawake wa Leo wamesaka ndoa kwa waganga ndio maana ndoa hazidumu