hitaijuaje namba hii?

hitaijuaje namba hii?

Yusufu

Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
13
Reaction score
0
wadau za kazi? kuna namba hii ya tigo 0657101228 inanisumbua sana na nimejaribu nmna ya kumjua ila nimeshindwa na pia nadhani huyu jamaa ananifaham vizuri na yupo karibu na mimi ila nimechemsha kabisa kumjua. nimekwenda tigo office lakini wamechomoa kunisaidia hadi niende kupewa RB polisi, na mimi naona usumbufu. je wadau kuna njia rahisi ya kumjua huyu mdau anae nisumbua?
 
njia ni rahisi, tumia tigo pesa kumtumia hata mia mbili then utapata full details zake, mean jina lake na hapo ni pazuri pa kuanzia!!! then jaribu kugoogle hilo jina may be utakutana nae facebuk au hata kuwauliza rafiki zake wa face buk
 
Anakusumbuaje hujatuambia ili tujue tnaanzia wapi kukusaidia.
 
Back
Top Bottom