Mwanzoni tuliona mistari mistari tu... Na kwa hakika hatukujua kama ni mchoro wa nini, na umeanzia wapi.... Lakini akapotoea Ben Saanane,! Ya kamanda Mawazo na Mwangosi yanajulikana yako wazi kabisa
Picha iakendelea kujichora taratibu, zikaja maiti za ruvu.. Mambo yakazidi kusonga.... Watu wakawa wanatishiwa maisha live, kufuatiliwa na kudukuliwa mawasiliano yao
Picha ikaanza kujitokeza formation yake... Tuliodhani ni picha tu ya kawaida ya pundamilia tukabaki midomo wazi baada ya kugundua ni lipicha litishalo sana la dubwana kubwa lenye maguvu mengi na katili kabisa
LIssu akamiminiwa risasi za kutosha, Mungu ni mwema... Lissu kasalimika japo kabaki na majeraha makubwa
Kalamu ya picha letu tuliiona wino wake na wachoraji wake siku Nape alipotolewa cha moto live.....
Picha letu limekamilika sasa bado kutia sahihi tu na kukoleza rangi
Kila kitu kiko hadharani sasa waliongozwa na ukatili wakasahau weledi katika kutimiza ukatili wao.. Wameacha alama kila walikopita na picha imekamika... Tukae mkao wa kuiona picha yetu katika uhalisia wake
Ni kweli umepatwa na stroke au ni jina tu?Hiyo vita ipo akilini kwako tu mkuu, na ukaamua kuileta hapa jf, ila nchi iko shwari kabisa, raia tunaishi kwa amani na tunafanya mambo yetu. nyie ambayo maslahi yenu yamebanwa pambaneni na hali zenu. kamwe hatutawaunga mkono.
Ni kweli unayozungumza ukiwa upande wa maslahi. Yakigeuka nawe hutawaunga mkono, ni vizuri kutumia akili yako ila inategemea asili yako.Mungu ibariki TanzaniaHiyo vita ipo akilini kwako tu mkuu, na ukaamua kuileta hapa jf, ila nchi iko shwari kabisa, raia tunaishi kwa amani na tunafanya mambo yetu. nyie ambayo maslahi yenu yamebanwa pambaneni na hali zenu. kamwe hatutawaunga mkono.
Ni kweli ila wa nyuma walikuwa makini zaidi japo nao waliacha alama za hapa na paleLakini Mshana Jr ukumbuke haya mambo hayakuanza leo wala jana, yamekuweko kwa zaidi ya miaka 8 sasa. Sana sana yameongezeka kwa idadi. Kwamba wameacha alama nadhani huo ni mpango wa Mungu tu kutufungua macho.
Ndio maana tunataka na kuhitaji Katiba Mpya kama nchi ili tutoke hapo. Terror state is who we rapidly are becoming.
Fear creates HATE!Ujumbe wangu kwa watawala na wanao waunga mkono katika mfumo huu wa ubinyaji haki na uhuru wa watanzania!! Binaadamu sio mnyama mpore na unaeweza kumtawala kirahisi, utamsumbua na kumtesa kwa kila aina ila akisema inatosha hua harudi nyuma, Pili Dunia ya Sasa sio ile ya 1961-1980 watanzania wengi wanaufahamu mkubwa pengine kuliko hata wanaotukandamiza!! Hakika mnatengeneza mazingira magumu kwenu na si kwa mnaowakandamiza, hao wanaowasapoti ambao kwa kiasi kikubwa wameanza kuungana na mnao wakandamiza mwisho wake utakua mbaya sana!!
Ni kweli haujala mayai. Lakini hata harufu ya ushuzi huisikii?
mbona hakuna hata dalili za iyo picha kuchorwa? mm naona kama ni mawazi yako vileeee......kajipange afu try again laterMwanzoni tuliona mistari mistari tu... Na kwa hakika hatukujua kama ni mchoro wa nini, na umeanzia wapi.... Lakini akapotoea Ben Saanane,! Ya kamanda Mawazo na Mwangosi yanajulikana yako wazi kabisa
Picha iakendelea kujichora taratibu, zikaja maiti za ruvu.. Mambo yakazidi kusonga.... Watu wakawa wanatishiwa maisha live, kufuatiliwa na kudukuliwa mawasiliano yao
Picha ikaanza kujitokeza formation yake... Tuliodhani ni picha tu ya kawaida ya pundamilia tukabaki midomo wazi baada ya kugundua ni lipicha litishalo sana la dubwana kubwa lenye maguvu mengi na katili kabisa
LIssu akamiminiwa risasi za kutosha, Mungu ni mwema... Lissu kasalimika japo kabaki na majeraha makubwa
Kalamu ya picha letu tuliiona wino wake na wachoraji wake siku Nape alipotolewa cha moto live.....
Picha letu limekamilika sasa bado kutia sahihi tu na kukoleza rangi
Kila kitu kiko hadharani sasa waliongozwa na ukatili wakasahau weledi katika kutimiza ukatili wao.. Wameacha alama kila walikopita na picha imekamika... Tukae mkao wa kuiona picha yetu katika uhalisia wake
Ujue natamani sana kuwa kama wewe lakini nashindwa. Ukiwa huna maono wala ung'amuzi wa mambo lazima uishi kwa raha kama Stroke. Najuta kuwa "mjuaji" mimi.Hiyo vita ipo akilini kwako tu mkuu, na ukaamua kuileta hapa jf, ila nchi iko shwari kabisa, raia tunaishi kwa amani na tunafanya mambo yetu. nyie ambayo maslahi yenu yamebanwa pambaneni na hali zenu. kamwe hatutawaunga mkono.
imekamilikaIMEKAMIRIKA