Mwanzoni tuliona mistari mistari tu... Na kwa hakika hatukujua kama ni mchoro wa nini, na umeanzia wapi.... Lakini akapotoea Ben Saanane,! Ya kamanda Mawazo na Mwangosi yanajulikana yako wazi kabisa
Picha iakendelea kujichora taratibu, zikaja maiti za ruvu.. Mambo yakazidi kusonga.... Watu wakawa wanatishiwa maisha live, kufuatiliwa na kudukuliwa mawasiliano yao
Picha ikaanza kujitokeza formation yake... Tuliodhani ni picha tu ya kawaida ya pundamilia tukabaki midomo wazi baada ya kugundua ni lipicha litishalo sana la dubwana kubwa lenye maguvu mengi na katili kabisa
LIssu akamiminiwa risasi za kutosha, Mungu ni mwema... Lissu kasalimika japo kabaki na majeraha makubwa
Kalamu ya picha letu tuliiona wino wake na wachoraji wake siku Nape alipotolewa cha moto live.....
Picha letu limekamilika sasa bado kutia sahihi tu na kukoleza rangi
Kila kitu kiko hadharani sasa waliongozwa na ukatili wakasahau weledi katika kutimiza ukatili wao.. Wameacha alama kila walikopita na picha imekamika... Tukae mkao wa kuiona picha yetu katika uhalisia wake
Katika hii video,mkulu alipoliongelea akasema "not to that extent" huku akitoa ishara za mikono,nirichoka kabisa,
Mwanzoni tuliona mistari mistari tu... Na kwa hakika hatukujua kama ni mchoro wa nini, na umeanzia wapi.... Lakini akapotoea Ben Saanane,! Ya kamanda Mawazo na Mwangosi yanajulikana yako wazi kabisa
Picha iakendelea kujichora taratibu, zikaja maiti za ruvu.. Mambo yakazidi kusonga.... Watu wakawa wanatishiwa maisha live, kufuatiliwa na kudukuliwa mawasiliano yao
Picha ikaanza kujitokeza formation yake... Tuliodhani ni picha tu ya kawaida ya pundamilia tukabaki midomo wazi baada ya kugundua ni lipicha litishalo sana la dubwana kubwa lenye maguvu mengi na katili kabisa
LIssu akamiminiwa risasi za kutosha, Mungu ni mwema... Lissu kasalimika japo kabaki na majeraha makubwa
Kalamu ya picha letu tuliiona wino wake na wachoraji wake siku Nape alipotolewa cha moto live.....
Picha letu limekamilika sasa bado kutia sahihi tu na kukoleza rangi
Kila kitu kiko hadharani sasa waliongozwa na ukatili wakasahau weledi katika kutimiza ukatili wao.. Wameacha alama kila walikopita na picha imekamika... Tukae mkao wa kuiona picha yetu katika uhalisia wake
hongeraKatika hii video,mkulu alipoliongelea akasema "not to that extent" huku akitoa ishara za mikono,nirichoka kabisa,
Sasa nimeamua kuchukua mafunzo makali,
NAVY SEAL,Delta Force,Spetsnaz, unawajua hao,nipo na train nao!!!
nina kufuko cha popcorn...
Hiyo vita ipo akilini kwako tu mkuu, na ukaamua kuileta hapa jf, ila nchi iko shwari kabisa, raia tunaishi kwa amani na tunafanya mambo yetu. nyie ambayo maslahi yenu yamebanwa pambaneni na hali zenu. kamwe hatutawaunga mkono.Ukisikia Selasini mbunge wa Rombo alivyoongea kwa uchungu ni dhahiri vita ya kikanda na kikabila itaanza soon, najua sio vita ya kutumia silaha na kutoana damu, vita ya chuki za rohoni kati ya yule na yule