Hii picha inaonesha kuwa historia imefikiamwisho.Ni kama utani vile lkn ni ukweli,,,, Raisi wa kwanza wa Kenya Mzee Jomo Kenyatta aliyekaa, na Raisi wa pili wa Kenya Mzee Daniel Moi aliyesimama mwenye suti mistari mistari na Raisi wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki aliye inama kashika magoti pamoja na Raisi wa sasa Uhuru Kenyatta alipokuwa mdogo amekaa pembeni ya baba yake........ PICHA HII MIAKA YA 70sView attachment 333935
Kwan upinzani haujawai kuchukua?Hii picha inaonesha kuwa historia imefikiamwisho.
Baada ya Kenyatta Jr hakuna mwingine tena atakayefuata katika hii cycle maana yake upinzani utachukua
Ndio maana yakeDu baada ya hapa Kenya haitakuwa na rais
Ni kama utani vile lkn ni ukweli,,,, Raisi wa kwanza wa Kenya Mzee Jomo Kenyatta aliyekaa, na Raisi wa pili wa Kenya Mzee Daniel Moi aliyesimama mwenye suti mistari mistari na Raisi wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki aliye inama kashika magoti pamoja na Raisi wa sasa Uhuru Kenyatta alipokuwa mdogo amekaa pembeni ya baba yake........ PICHA HII MIAKA YA 70sView attachment 333935
aiss itabidi tuichukue sisi...iwe yetuNdio maana yake
Yeah ili kuondoa mzizi wa fitinaaiss itabidi tuichukue sisi...iwe yetu