History for secondary schools | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

History for secondary schools

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mwalimu_salum, Jul 21, 2011.

 1. m

  mwalimu_salum Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi ni mwalimu wa somo la Historia kwa shule za secondary,nina nia ya kusaidia jamii kwa kutoa resources na ushauri ktk somo hili,na kwa bahati mzuri nikiwa katika harakati za kutafuta ni wapi nitafanya kazi hii nimekutana na wana jf wanaohitaji msaada huo.

  Naomba wadau wa elimu na wa somo la Historia mnipe mawazo yenu juu ya mpangilio bora na ambao utaleta ufanisi ili kufanikisha mpango huu.

  Thaxs
   
Loading...