Dhana ya hawa watu kukimbilia Asia nayo haina ushahidi wa kihistoria kama kukimbilia huku na kuna sababu...Mkuu vipi dhana ya kwamba walikimbilia Asia? Au kama walikimbilia huku Afrika hawakuendeleza taratibu zao za kimila ambazo zingewatofautisha na wengine? Kama vile dini yao ya kiyahudi.
[HASHTAG]#Eiyer[/HASHTAG]
1. Je ni kweli kwamba taifa la Israel ni taifa mkakati lililoanzishwa ili kukabiliana na nguvu ya Urusi huko mashariki ya kati?
2. Je ni kweli kuwa kabla ya kulianziasha taifa hilo huko mashariki ya kati, kuna wakati walifikiria kulianzisha katika nchi ya Uganda? Je ilikuwaje?
3. Nini tofauti kati ya wazayuni (Zionists) na Wayahudi (Jewish)?
4.Nini kilitokea hata kupelekea mauaji ya wayahudi/waisrael kule German? Kuna habari kuwa Rothschild family ambao originally ni jews ndo walikuwa nyuma ya yale mauaji na pamoja na kwamba wao ni jews wenyewe pamoja na miradi yao hawakuathirika na udikteta wa Hitler, na kuna tetesi kuwa hata Hitler a.k.a Alois alitoka katika familia hiyo. Je ni kweli?
5. Hawa wayahudi/israel walitokea wapi mpaka wakatapakaa katika nchi za ulaya na Marekani?
6. Kuna uhusiano gani wa siri kati ya israel na marekani? Je kuna/iliwahi kutokea influence yoyote ya Israel ndani ya Russia?
Wakuu nitafurahi sana kama nitapata maandiko yenu juu ya issue hizo.
Wasalaam
Not convincing enough. The mighty bold would have gone extra mile. You are trying hard but you will never touch the bold heights. Kuwa msomaji kama mimi.Historia ya taifa la Israel inaanzia kwenye Biblia,hakuna Israeli bila biblia...
Taifa hili linaanzia pale ambapo Ibrahimu ananunua eneo ambalo baadaye lilikuja kujulikana nkama Kanaani...
Wanaoitwa Waisraeli leo wanatokana na jina Israeli ambalo alipewa Yakobo na malaika baada ya kushindana naye na wanae wakaitwa waana wa Israeli...
Waisraeli yaani watoto wa Yakobo walianza baada ya Yakobo kuzaa watoto 12 kutoka kwa wanawake watatu tofauti...
Hii Israeli ya leo siyo ile ya kale na hawa waisraeli wa leo siyo wale wa kale...
Neno Wayahudi linatokana na neno au jina Yuda ambalo ni jina la mmoja wa watoto wa Yakobo.Jina hili lilikuwa maarufu sana baada ya Israeli kugawanyika na kupatikana Israeli 2 miaka 675 kabla ya Kristo...
Baada ya mgawanyiko huu zikapatikana nchi mbili..
1;Israeli iliyokuwa na makabila 10
2;Yudea iliyokuwa na makabila 2 ambayo ni Yuda na Benjamin..
Nchi hii ya Yudea iliitwa Yudea kwasababu ya wingi wa watoto wa Yuda waliounda kabila hilo tofauti na Benjamin waliokuwa wachache....
Waisraeli walianza kumuasi Mungu na waliadhibiwa kwa kutawaliwa na Waashuru na kuanzi hapo historia yao ikaanza kufutika na hawakujulikana walikwenda wapi...
Wayuda au Wayahudi waliendelea kudumu katika agano la Mungu na huko ndipo alipozaliwa Kristo na wakati Ksristo anakuja ulimwenguni alikuta Waisraeli hawajulikali walipokwenda na ndiyo maana alisema "sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli" hii inaonesha walikuwa "wamepotea" kimwili na kiroho....
Mwaka 70 A.D,Warumi walipoivamia Jerusalem na kulisambaratisha hekalu waliwaua Wayahudi wengi sana na kusababisha wengine kukimbia nchi yao wenyewe ya Yuda [Israeli ya kusini] na kuanzia hapo haikujulikana walienda wapi kwa mujibu wa historia inayokubaliwa na wakubwa wa dunia
Hakuna ushahidi wowote kuwa Wayuda waliokuwa wanaunda taifa la Yudea walikimbilia Ulaya na kuna ugumu mkubwa sana kwa jambo hili kutokea kwasababu ni vigumu mtu akufukuze kwako halafu wewe ukimbilie kwake tena nyumbani kwake.Ni ngumu sana Wayahudi wafurushwe na Warumi halafu wakimbilie Ulaya ambako ni kama nyumbani kwa Warumi....
Kuna ushahidi mkubwa unaonesha kwamba hawa Wayahudi walikimbilia Afrika hasa Afrika ya magharibi na wengine mashariki mwa Afrika.Jambo hili halikubaliwi kabisa na wakubwa wa dunia...
Kwasababu hii,hawa ambao leo tunaambiwa ni wayahudi historia inawakataa kwakuwa walitoka Ulaya na hakuna ushahidi kuwa Wayahudi waliotoka Yudea walikimbilia ulaya maana huko wangemwalizwa zaidi...
Daha ya Wayahudi kukimbilia ulaya ni ngumu sana kukubalika...
Hah ah hahahaNot convincing enough. The mighty bold would have gone extra mile. You are trying hard but you will never touch the bold heights. Kuwa msomaji kama mimi.
Tunataka nondo zilizoshiba utafiti na ujazo. His majest the king bold rules jf intelligence kingdom. We are his loyal subjects. Hail to the king!Hah ah hahahamkuu kwani Hapa kuna ushindani between kaka Eiyer na Bold au topic iko jukwaani watu wachangie
Comment yako sio nzuri ndugu yangu