Habari za wakati Great Thinkers wa JF...
Mheshimiwa Maxence Melo,
Waheshimiwa Moderators wote, JF Senior members, JF Expert members, Members kama mimi, Wataalamu woooote wa masuala ya historia,,, Itifaki imezingatiwa...
Mimi nimezaliwa katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera lakini sijakulia huko hivyo sikubahatika kujua asili yangu hadi nilipokua na kuanza research mbalimbali zisizo rasmi na kupata machache sana kupitia wahenga na mitandao ya kijamii hususani JF.
Lakini maelezo ambayo nimekuwa nikiyapata yanatofautiana kiasi kwamba sielewi niamini lipi niache lipi. Baadhi husema sisi ni jamii ndogo ya wahaya, wengine husema sivyo.
Ni kabila linaloonekana kuwa dhaifu sana ukilinganisha na jamii nyingine za mkoa wa Kagera. Tupo chini kielimu, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, hata "kupenda misifa" ambayo ni asili ya Kagera tupo chini. Sijui hata tujivunie nini kwenye ka-wilaya ketu ambako hata serikali ilishakatenga kwenye maendeleo (japo mkoa mzima wa Kagera umetengwa).
Kwa yeyote mwenye kuelewa historia ya kabila la wasubi, wilaya ya biharamulo pamoja watu maarufu wa kabila hili anaowafahamu atoe mchango wake hapa.
"Jasiri haachi asili"
Sote ni watanzania lakini kuijua asili si dhambi.
Karibuni...
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Story ya abunwasi
Wasubi ni jamii ya wanyarwanda. Anzia Rwanda kutafuta asili yenu mliingiaje BimuloHabari za wakati Great Thinkers wa JF...
Mheshimiwa Maxence Melo,
Waheshimiwa Moderators wote, JF Senior members, JF Expert members, Members kama mimi, Wataalamu woooote wa masuala ya historia,,, Itifaki imezingatiwa...
Mimi nimezaliwa katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera lakini sijakulia huko hivyo sikubahatika kujua asili yangu hadi nilipokua na kuanza research mbalimbali zisizo rasmi na kupata machache sana kupitia wahenga na mitandao ya kijamii hususani JF.
Lakini maelezo ambayo nimekuwa nikiyapata yanatofautiana kiasi kwamba sielewi niamini lipi niache lipi. Baadhi husema sisi ni jamii ndogo ya wahaya, wengine husema sivyo.
Ni kabila linaloonekana kuwa dhaifu sana ukilinganisha na jamii nyingine za mkoa wa Kagera. Tupo chini kielimu, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, hata "kupenda misifa" ambayo ni asili ya Kagera tupo chini. Sijui hata tujivunie nini kwenye ka-wilaya ketu ambako hata serikali ilishakatenga kwenye maendeleo (japo mkoa mzima wa Kagera umetengwa).
Kwa yeyote mwenye kuelewa historia ya kabila la wasubi, wilaya ya biharamulo pamoja watu maarufu wa kabila hili anaowafahamu atoe mchango wake hapa.
"Jasiri haachi asili"
Sote ni watanzania lakini kuijua asili si dhambi.
Karibuni...
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Asante, sasa napata mwangaHilo la Wasuni kuwa nyuma kielimu linatokana vinasaba (genetics) vya kabila hilo kuwa dhaifu (weak) kulinganisha na makabila yote mkoani Kagera. Na hiyo imetokana na asili ya Kabila hilo kuwa na hali mbaya ya hewa kulinganisha na wilaya za Kagera, magonjwa ya trypanosomiasis, malaria na yellow fever ambayo hayajasambaa sana wilaya nyingine kama Biharamulo.
Hata hivyo kwa kuwa Kabila hilo limetokana na jamii za Interlacustrine, ambazo ni bright sana, bado ina vinasaba vingi vinavyofanya kabila kuwa juu kiakili unapolinganisha na makabila yote ya Geita (ukitoa Wazinza), Mwanza (ukitoa Wakerewe na Wakara), Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara, Mtwara, Lindi, Pwani na Dar.
Sawa mkuuWasubi ni jamii ya wanyarwanda. Anzia Rwanda kutafuta asili yenu mliingiaje Bimulo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba Wazinza, wakerewe na wakara ni jamii bright? Uthibitisho tafadhari!!Asante, sasa napata mwanga
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Hao wote ni jamii ya Interlacustrine na ukiacha Wazinza, Wakerewe na Wakara wana mchanganyiko na jamii za watu kutoka Ethiopia -Wagalla ambao ni hamites. Vilevile, jamii hizi zinaishi ziwani na samaki ni kitoweo chai cha asili. Aidha, Hali ya hewa ya jamii hizo hasa Wakerewe na Wakara ili kuwa nzuri almost kama Bukoba huku wakizalisha na migomba.Kwamba Wazinza, wakerewe na wakara ni jamii bright? Uthibitisho tafadhari!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh mbna ndgu yenu anawakana anajiita ngosha wakati tunajua yeye ni msubi mix na muhaya,ukiona mtu anakana kabila lake jua kichwani mwake iko shida kubwaHabari za wakati Great Thinkers wa JF...
Mheshimiwa Maxence Melo,
Waheshimiwa Moderators wote, JF Senior members, JF Expert members, Members kama mimi, Wataalamu woooote wa masuala ya historia,,, Itifaki imezingatiwa...
Mimi nimezaliwa katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera lakini sijakulia huko hivyo sikubahatika kujua asili yangu hadi nilipokua na kuanza research mbalimbali zisizo rasmi na kupata machache sana kupitia wahenga na mitandao ya kijamii hususani JF.
Lakini maelezo ambayo nimekuwa nikiyapata yanatofautiana kiasi kwamba sielewi niamini lipi niache lipi. Baadhi husema sisi ni jamii ndogo ya wahaya, wengine husema sivyo.
Ni kabila linaloonekana kuwa dhaifu sana ukilinganisha na jamii nyingine za mkoa wa Kagera. Tupo chini kielimu, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, hata "kupenda misifa" ambayo ni asili ya Kagera tupo chini. Sijui hata tujivunie nini kwenye ka-wilaya ketu ambako hata serikali ilishakatenga kwenye maendeleo (japo mkoa mzima wa Kagera umetengwa).
Kwa yeyote mwenye kuelewa historia ya kabila la wasubi, wilaya ya biharamulo pamoja watu maarufu wa kabila hili anaowafahamu atoe mchango wake hapa.
"Jasiri haachi asili"
Sote ni watanzania lakini kuijua asili si dhambi.
Karibuni...
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] kwahiyo nikienda kule naweza kupata tuition nikawa kama Mshana Jr?Wasubi ni watu wenye wivu na chuki +wachawi yani ukienda Runazi, Bh na pengine ukianza fanikiwa wanakuletea zengwe.
Hawapendi mafanikio majamaa wale