Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Mimi nilimuuliza kama ana takwimu za sasa kuhusu upendeleo wa elimu lakini akasema itakuwa kazi ngumu. Sasa kazi ngumu kivipi wakati tayari mtu anasema kuna upendeleo. Tupo 2011 mtu anatumia takwimu za mwaka 1999. Mimi bado namsubiri athibitishe hiki kitu!

Sweke34,

Ikiwa unategemea mimi nifuate unavyotaka utachelewa sana.

Huwa si mtu wa ubishi ule wa nipe nikupe Mwanakijiji nishamweleza hilo. Sina hulka ya kung'ngania mimi ikiwa tumefika mahali tumekwama sote wawili nasonga mbele na mjadala.

Ningekuwa na tabia hiyo mngelikuwa mshachoka na mnakasha toka jana. Bado mpo na mimi kwa kuwa mnasoma kila uchao.

Tuendelee mbele na historia ya wazee wangu toka jana nimeweka vitu vingi ambavyo nina hakika hamkuwa mnavijua hata FF akanipa mji.

Mohamed
 
sweke34,

ikiwa unategemea mimi nifuate unavyotaka utachelewa sana.

Huwa si mtu wa ubishi ule wa nipe nikupe mwanakijiji nishamweleza hilo. Sina hulka ya kung'ngania mimi ikiwa tumefika mahali tumekwama sote wawili nasonga mbele na mjadala.

Ningekuwa na tabia hiyo mngelikuwa mshachoka na mnakasha toka jana. Bado mpo na mimi kwa kuwa mnasoma kila uchao.

Tuendelee mbele na historia ya wazee wangu toka jana nimeweka vitu vingi ambavyo nina hakika hamkuwa mnavijua hata ff akanipa mji.

Mohamed

unataka nini kifanyike baada ya historia zako??
 
Hapa umemaliza bwana Mohamed ndugu yetu Kigarama but ila hujakidhi kiu kwasababu kumfahamu Mwarabu Rumaliza hakumaanishi kuwa Mkwawa ni muislamu. Vile vile kuweza kusoma maandishi ya kiirabu pia hakumaanishi kuwa ni waislamu. Pengine sheikh mohamed nikuulize Mkwawa kuna watu wanajua alikuwa muislamu? Je kuna walimshuhudia kutoa shahada? Walisali nae msikitini na walimzika kiislamu. Hebu tupambanulie zaidi sheikh.

M,

Usifanya haraka majibu atakujanayo Kigarama kutoka Kalenga. Hebu soma vizuri huo uzi wangu uone nimesema nini.

Haya mambo hayataki haraka, taratibu na kwa kushuhudia wewe mwenyewe utajua.

Huku ndiko kujifunza. Mimi natamba humu kwa kuwa nimeona mwenyewe licha ya kuhadithiwa. Mtu akikupa barua anakuambia hii ni ya babu yangu mkuu aliiandika kwa mkono wake 1898 usifanye mchezo inasisimua.

Rumaliza kafanya makubwa na Mkwawa.

Sheikh Nurdin Hussein alikuwa na kilemba kina umri wa miaka zaidi ya 200 kinarithiwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine kwa makhalifa wa Shadhily. Hii kanihadithia yeye mwenyewe.

Kinavaliwa mara moja kila mwaka mfungo sita katika Maulid Makubwa ya Bwana Mtume SAW. Historia hujengwa na mambo kama haya.

Mie nasubiria sheikh ni vizuri ukatufafanulia barua inaandikwa vp kwa kiarabu kama inaanza kwa jina la mwenyezi mungu mwingi wa rehemu na kushuhudia mmungu moja na mtume muhammad (SAW) ni mjumbe wake. Basi hapo itakuwa kigezo tosha kuwa alikuwa huyo bwana ni Mwislamu otherwise ni ngumu sana kuamini kauli ya kuwa Mkwawa alikuwa Mwislamu bila ya vithibitisho kamilifu. Ni mtazamo wa mawazo ya wazi (open mindness).
 
Sweke34,

Ikiwa unategemea mimi nifuate unavyotaka utachelewa sana.

Huwa si mtu wa ubishi ule wa nipe nikupe Mwanakijiji nishamweleza hilo. Sina hulka ya kung'ngania mimi ikiwa tumefika mahali tumekwama sote wawili nasonga mbele na mjadala.

Ningekuwa na tabia hiyo mngelikuwa mshachoka na mnakasha toka jana. Bado mpo na mimi kwa kuwa mnasoma kila uchao.

Tuendelee mbele na historia ya wazee wangu toka jana nimeweka vitu vingi ambavyo nina hakika hamkuwa mnavijua hata FF akanipa mji.

Mohamed
Exactly! Hata mfumo kristo umeuweka hapa wewe mwenyewe. Sasa kwanini unashindwa kuonyesha kwa takwimu zinazoelewa huo upendeleo kwenye elimu kwa miaka ya hivi karibuni? Mbona takwimu/mabandiko mengine unayo mengi? Tunaelemishana tu ndugu yangu.
 
unataka nini kifanyike baada ya historia zako??[/QUOTE

MkUu MS,

Hili lako ni darasa huru,tuko wengi humu sasa tunaogerea kwenye mawimbi ya historia,na kama ilivyo ada kwenye darasa vilaza hawakosekani mwengine atagonga dawati bila yasababu,mara aseme hili ili muradi na yeye aonekane yupo.
Ushauri wangu huna haja kujibu post zingine ambazo hazina tija kwenye huu mjara,waswahili husema,"kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo"
Endelea mzee wangu...
 
Mie nasubiria sheikh ni vizuri ukatufafanulia barua inaandikwa vp kwa kiarabu kama inaanza kwa jina la mwenyezi mungu mwingi wa rehemu na kushuhudia mmungu moja na mtume muhammad (SAW) ni mjumbe wake. Basi hapo itakuwa kigezo tosha kuwa alikuwa huyo bwana ni Mwislamu otherwise ni ngumu sana kuamini kauli ya kuwa Mkwawa alikuwa Mwislamu bila ya vithibitisho kamilifu. Ni mtazamo wa mawazo ya wazi (open mindness).

M,

Usitaabike ndugu ndugu yangu uhuru ni wako wa kuamini au kutoamini. Hili nishalizungumza mara nyingi humu ukumbini.

Mimi kilichonisukuma hadi leo unaona tuko jamvini hapa ni kueleza kile nilichojifunza katika historia ya wazee wangu na kukiweka bayana watu wasome.

Ni hilo basi.

Ningesema mie nitake kuaminika ningelikosa basi.

Mohamed

PS: Krapf alipigwa na bumbuazi alipomkuta Chifu Kimweri katika baraza lake anaandika na kusoma kwa irabu za Kiarabu na Muislam. MS.
 
unataka nini kifanyike baada ya historia zako??[/QUOTE

MkUu MS,

Hili lako ni darasa huru,tuko wengi humu sasa tunaogerea kwenye mawimbi ya historia,na kama ilivyo ada kwenye darasa vilaza hawakosekani mwengine atagonga dawati bila yasababu,mara aseme hili ili muradi na yeye aonekane yupo.
Ushauri wangu huna haja kujibu post zingine ambazo hazina tija kwenye huu mjara,waswahili husema,"kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo"
Endelea mzee wangu...
Mkuu wangu,,, post nyingi humu ndani zinahusiana na kile alichokisema MS. Angalia usije ukawa kenge ni wewe mwenyewe!
 
unataka nini kifanyike baada ya historia zako??[/QUOTE

MkUu MS,

Hili lako ni darasa huru,tuko wengi humu sasa tunaogerea kwenye mawimbi ya historia,na kama ilivyo ada kwenye darasa vilaza hawakosekani mwengine atagonga dawati bila yasababu,mara aseme hili ili muradi na yeye aonekane yupo.
Ushauri wangu huna haja kujibu post zingine ambazo hazina tija kwenye huu mjara,waswahili husema,"kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo"
Endelea mzee wangu...

hahaha! Hatajibu baadhi ya post sio kwa sababu hazina tija, ila kwa sababu HANA MAJIBU. He is the public speaker, and that is the art of public speaking. 'Waislamu tunanyanyaswa' is clearly stupid argument in Tanzania we have now. 'Waislamu tulinyanyaswa' can be an argument, but what matters most is now!
 
unataka nini kifanyike baada ya historia zako??[/QUOTE

MkUu MS,

Hili lako ni darasa huru,tuko wengi humu sasa tunaogerea kwenye mawimbi ya historia,na kama ilivyo ada kwenye darasa vilaza hawakosekani mwengine atagonga dawati bila yasababu,mara aseme hili ili muradi na yeye aonekane yupo.
Ushauri wangu huna haja kujibu post zingine ambazo hazina tija kwenye huu mjara,waswahili husema,"kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo"
Endelea mzee wangu...

SM,

Nafauta usia wa Sheikh Mohamed Ayoub (Mungu amrehemu) katuusia anasema elimu ni amana kutoka kwa Allah kawekeza kwako. Mwenye amana yake akija lazima umpe. Huo ndiyo uadilifu.

Sasa hawa ndugu zetu walidhulumiwa katika hili Kanisa halikupenda wajue haya nisemayo humu sasa leo wanaponiuliza maswali mimi nachukulia tuko katika darsa anataka kujifunza.

Nadhani umeona kwengine natoa ushauri kuwa vuta subra, punguza hamaki, kaulize wenzie nk. nk.

Huku ndiko kuwaenzi masheikh wetu na hawa ndugu zetu wajue kuwa na huku ilikuwapo ilm toka enzi na enzi waondokane na propaganda ya kanisa kuwa Waislam walikuwa wajinga.

Mohamed
 
QUOTE=Mohamed Said;2730763]

Jazakh Allah kheri,Sheikh!
 
unataka nini kifanyike baada ya historia zako??[/QUOTE

MkUu MS,

Hili lako ni darasa huru,tuko wengi humu sasa tunaogerea kwenye mawimbi ya historia,na kama ilivyo ada kwenye darasa vilaza hawakosekani mwengine atagonga dawati bila yasababu,mara aseme hili ili muradi na yeye aonekane yupo.
Ushauri wangu huna haja kujibu post zingine ambazo hazina tija kwenye huu mjara,waswahili husema,"kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo"
Endelea mzee wangu...

Mkuu SM,

Sasa mmeanza kumhodhi sheikh mohamed na kumpangia post za kujibu? Mbona tangu awali hajachoka kujibu post za watu?

Kwamba aliyeanzisha mjadala yuko radhi kuendelea kujibizana na wanaukumbi lakini wapambe wake hamtaki!? Kama mnataka tuwaachie ukumbi wenyewe semeni tu.
 
Mkulu MM,

Hapana sikuwa na nia hiyo hata kidogo,tafadhari nachukua nafasi hii tena kuomba samahani kwako na wanaukumbi wote"jamani mniwie radhi"
Muhamed Said ni wetu sote,kama alivyosema yeye amejariwa ilmi na sisi wahitaji,sote bila ya kubaguana
Mnisamehe ndugu zangu!.
 
Mkwawa vilevile alikuwa Muislam na alikuwa na ndugu yake ambae alikuwa mmoja wa makamanda wake akiitwa Yusuf.

Mohamed
mmmmmhhhhh!!!!! MS hapo mpendwa umechemka. Mimi daima nakushangaa kwa msimamo wako. Naamini kuwa Wazee wako wa Kariakoo kweli walishiriki ktk ukombozi wa nchi hii ila hawakushiriki kama MUSLIMS bali kama WATANZANIA wazalendo, sasa ww unataka kutuaminisha sisi tuliozaliwa baada ya uhuru kuwa uhuru wa nchi hii haukutafutwa na WATANZANIA bali na WAISLAM.

BILA shaka hata leo hii, na wewe ni shahidi nafasi zote muhimu ktk nchi zimeshikwa na MOHAMEDIANS, kilio chako daima Waislam wanaonewa, kwa bahati nzuri nimesoma nao ktk ngazi zote za elimu hicho unachopigia upatu sikukiona, na hata ktk ajira hali iko hivyo. please do not talk about idadi kwani halina uhusiano kabisa na dini, kwa sa7 at the end of tha day utajikuta unasahau dini unahamia ktk ukabila, lkn kwa kuwa huenda unahidden agenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom