M Mkirindi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2011 Posts 6,752 Reaction score 4,974 Sep 15, 2019 #41 Sky Eclat said: Britain ilikuwa guardian wa Uganda Click to expand... Ilikuwa protectorate kana Tanzania
Sky Eclat said: Britain ilikuwa guardian wa Uganda Click to expand... Ilikuwa protectorate kana Tanzania
M Mkirindi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2011 Posts 6,752 Reaction score 4,974 Sep 15, 2019 #42 sweettablet said: Hakujawahi kuwa na King of Uganda. Labda kama walimaanisha King of Buganda. Kumbuka hivyo ni vitu viwili tofauti. Click to expand... Kulikuwa na wafalme wengine pia, kama Basoga, Banyakole ama Bunyoro nk
sweettablet said: Hakujawahi kuwa na King of Uganda. Labda kama walimaanisha King of Buganda. Kumbuka hivyo ni vitu viwili tofauti. Click to expand... Kulikuwa na wafalme wengine pia, kama Basoga, Banyakole ama Bunyoro nk
Sukari Yenu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 1,698 Reaction score 1,260 Sep 15, 2019 #43 Sky Eclat said: Britain ilikuwa guardian wa Uganda Click to expand... Basi hata Tz hatukutawaliwa na Uingereza
Sky Eclat said: Britain ilikuwa guardian wa Uganda Click to expand... Basi hata Tz hatukutawaliwa na Uingereza
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,638 Reaction score 220,410 Sep 15, 2019 Thread starter #44 Mkirindi said: Ilikuwa protectorate kana Tanzania Click to expand... Yes kama Tanganyika, lakini Muingereza kwa bila alimfanya Kabaka puppet wake nafaka ya kuwa co-leader.
Mkirindi said: Ilikuwa protectorate kana Tanzania Click to expand... Yes kama Tanganyika, lakini Muingereza kwa bila alimfanya Kabaka puppet wake nafaka ya kuwa co-leader.
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 20,530 Reaction score 14,792 Sep 15, 2019 #45 Mkirindi said: Kulikuwa na wafalme wengine pia, kama Basoga, Banyakole ama Bunyoro nk Click to expand... Kweli kabisa.
Mkirindi said: Kulikuwa na wafalme wengine pia, kama Basoga, Banyakole ama Bunyoro nk Click to expand... Kweli kabisa.
Dhul JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 767 Reaction score 790 Sep 15, 2019 #46 Historia inayotambulika barani Africa nchi ambazo hazikutawaliwa ni mbili tu
state agent JF-Expert Member Joined Jul 1, 2019 Posts 1,764 Reaction score 2,515 Sep 15, 2019 #47 Hata Tanganyika haikutawaliwa na uingereza ,UK alikuwa mwangalizi tu nessonlegend said: Haikuwai kuwa koloni kivipi? Unamaanisha haikutawaliwa au? Kwamba nayo inaungana na Liberia na Ethiopia? Click to expand...
Hata Tanganyika haikutawaliwa na uingereza ,UK alikuwa mwangalizi tu nessonlegend said: Haikuwai kuwa koloni kivipi? Unamaanisha haikutawaliwa au? Kwamba nayo inaungana na Liberia na Ethiopia? Click to expand...
manonawire JF-Expert Member Joined Dec 31, 2017 Posts 943 Reaction score 1,227 Sep 25, 2019 #48 Mikocheni Junction said: Sijawahi kuona mtu mpotoshaji km huyu jamii forum Aliwahi kuleta uzi kumzushia Nyerere alikuwa msimamizi wa ndoa ya Kambona Click to expand... Mkuu nimecheka mno
Mikocheni Junction said: Sijawahi kuona mtu mpotoshaji km huyu jamii forum Aliwahi kuleta uzi kumzushia Nyerere alikuwa msimamizi wa ndoa ya Kambona Click to expand... Mkuu nimecheka mno