Historia ya samaki mtu imekaaje wakuu?

Huyo ni nguva!! wanapatikana Baharini sana kwenye kina!! kama mjuavyo asilimia 90 ya viumbe wa baharini na bahari yenyewe bado havieleweki kwa wataalamu wa Marine creatures! so msi shangae na mengi mtayaona zaidi ya hayo!!

Na baharini kuna viumbe weeeengi mno kuliko nchi kavu!
 
Hayo alitengenezewa humo humo baharini maana wadada wa salon hawashindwi
Kama wanakufuata mpaka home sasa baharini watashindwa kweli
 
Hata na mimi huwa nataka kujua hii kitu ni kweli ipo mana kuna kipindi niliwahi ona samaki wa ivo lakini juu alikuwa ni mwanamke mwenye ngozi nyeupe.
 
Huyo ni nguva!! wanapatikana Baharini sana kwenye kina!! kama mjuavyo asilimia 90 ya viumbe wa baharini na bahari yenyewe bado havieleweki kwa wataalamu wa Marine creatures! so msi shangae na mengi mtayaona zaidi ya hayo!!

Na baharini kuna viumbe weeeengi mno kuliko nchi kavu!

Acha stori za vijiweni mkuu
Nguva ni mnyama anakula nyasi bahari wala sio nusu binadamu kama tunavyolishana matango pori.

Nguva ni dugong au sea cow jina maarufu.

Hakuna samaki mtu kwenye sayansi ya viumbe wa majini unless kuwe ni mauzauza ya ulimwengu wa giza kama ilivyo uwepo wa majini baharini.

Save my comment mkajisomee wanyama wa kundi la Sirenians
 
Habari wakuu, nawasalim woote!
Jana usiku (March 08) katika kuangalia angalia updates za WhatsApp status nilistaajabu baada ya kukutana na video inayomuonesha (SAMAKI MTU) akiwa ufukweni na watu walikuwa walikuwa wamemzunguka ili kumshangaa! Nilipomuuliza aliyeweka hiyo status kwaajili ya ufafanuzi; alinambia Ni Kenya hiyo. Sababu ya kuleta uzi huu ni angalau kufahamishwa kama huyu SAMAKI MTU ni halisi, au is beyond uhalisia (Imani za giza) zimehusika? Au hata kama sio beyond uhalisia, historian ya SAMAKI MTU imekaaje wakuu?

Kama SAMAKI MTU ni halisi basi ungekuwa Ni busara sana watu wangefanya maamuzi ya kumrudisha kwenye maji muda mfupi tu baada ya kumshangaa (Nawaza tu)...

View attachment 2181195

View attachment 2181196
Sio mhuni tu mmoja kaamua kuvaa hilo li mkia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom