Historia ya Papa Mpya Robert Francis Prevost

Degree ya Hisabati na kuwa papa hiyo ni kichwa kweli
 
Mwanae sana na Trump.
Naanza kupata picha Moshi mweupe unatengenezwa na Wahuni🀣
 
Papa maana yake BABA,sasa soelewi ni ujinga gani walionao WAAFRIKA wanaojiita waroma kumuita mzungu baba yao wakati hana hata mke wala mtoto na ni tofauti kabisa na wao.

Imani za kigeni kwa WAAFRIKA wakristo ni ujinga mkubwa
 
Hizo Phd hata Sheikh Webabu na imamu Covax wanazo.

Nipo kwa Mtoro njoeni mnipige.

Nakatiza kwenye huu uchochoro wa ombaomba mnakouza kobas na kanzu naona leo hamjakaa barazani nje ya Msikiti kutokana na mvua inayoendelea kunyesha tangu saa 12 asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…