Historia ya Mzee Kipusa

Pole sana ndugu!

Mungu pekee ndiye anayeweza kukufanyia wepesi, ni binadamu wachache sana huwa wanguswa na changamoto za mtu mwingine, kuna ndugu wanatamani hata tufe ili iwe furaha kwao. Tukubali kuishi katika hii dunia iliyosheheni chuki na visasi lakini tegemeo letu kuu likiwa kwa Mungu pekee.

Sijawahi kujuta kumtumainia Mungu pekee, binadamu anabadilika, leo mtaishi vizuri kesho atakuchoka.


Only GOD is the one who will never leave you alone, let HIM be your Hope. Mungu akuvushe salama katika mapito yako
 
Kwenye Mahusiano;- nimewahi kunyanyasika sana kwasababu ya kipato.

Nimefanyiwa vituko vya kila aina...I mean like...mwanamke anakufanyia vituko kwà lengo la umpige akupeleke Polisi.....lakini nikawa nakwepa.

Nimedharaulika na kunyanyasika sana. Ilifika mahala nikaambiwa moyo wangu unatanuka. Maana nilikua nasikia maumivu MAKALI sana moyoni na katikati ya kifua.

Nimewahi kumfumania mwanamke ninaye mpenda zaidi ya mara 5...? Maumivu yake sio ya kitoto! Ukiwa na roho ndogo unaweza ukaua!!
 
Amina
 
Tatizo umekaa kizembe
 
Pole sana mala zite unasimulia hii
 
Hakuna watu wanaoabudu MIZIMU kama MACHIFU...

Kila kitu kwao kuanzia uongozi wao..

Kuzaliwa watoto...

Kuoa...

Mvua nk...vyote waliomba mizimu

Naomba usimame na Mungu sana...

Maana una vita kubwa...
Kwanin usimshauri akasimama na mambo ya mila na desturi za kwao?
 
Naomba elimu kidogo ya hapa


Chukua kalamu na karatasi , ...weka title ya topic au kitu unachotaka kukijua.....then utashangaa kuona vitu vinashuka tu. Just like that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…