Historia ya Mzee Kipusa

Ukiona kiza kimezidi jua kunakaribia kukucha so worry out
 
Huna kosa...

Ila kosa wanalo ukoo wako...
 
I do alot of meditation. Alot my brother...

I am a kind of a person who can watch and learn.

It's like there's an invisible being inside me who is teaching anything I want to know.

Mimi sio mlevi , sio mzinzi....kuna mambo tulifundishwa seminary ...na siwezi kuenda kinyume nayo.

Nikiwa na mpenzi mmoja , ni huyo huyo. Sivuti sigara wala bangi.

Najitahidi sana kuishi a decent life


Note: Na ukiniona sasa , unaweza kufikiri sina shida...maana njia ninayoitumia ni kuyafanyia mawazo meditation. Bila hivi ningekua nimekonda sana na kuisha kabisa.
 
Wakati unakuja ambao utakumbukwa na Mungu, maana neno la Mungu linasema;

Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kinga yake na moyoni mwake amemwacha Mungu

UTASHUHUDIA hapa...
Amina
 
😥😥
 
Nina hakika hufanyi ile meditation yenyewe mkuu..try pia Yoga.
 
Nina hakika hufanyi ile meditation yenyewe mkuu..try pia Yoga.
Siwezi kufanya Yoga...., cause najua side effects zake.

Mimi nafanya meditation kama wafanyazo viongozi mfano :- Mwalimu Nyerere....au walizokua wakizifanya mitume na manabii...

Chukua kalamu na karatasi , ...weka title ya topic au kitu unachotaka kukijua.....then utashangaa kuona vitu vinashuka tu. Just like that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…