Historia ya Mzee Kipusa

Hapa tatizo lilianzia hapa...
 
Uchawi ndo chanzo cha matatizo yako...
 
Kama ni kweli, pole Mzee
Ushauri wangu
Inaonekana kweli una maadui wengi ila adui na. 1 ni akili yako.
1. Punguza kufikiri sana, unaichosha akili yako na unajinyima furaha.
2. Acha kuhisi una "special mission" wewe ni muhimu kama watu wengine na ni wa kawaida kama watu wengine, kama una kitu cha tofauti kitakufuata hutakifuata.
3. Usikate tamaa, hiyo ni dalili ya kuamini na kuishi kwenye akili yako, amini yangu wewe ni mtu kama wengine na wapo wenye mambo kukuzidi.
4. Acha mawazo ya kujiua halafu kutaka ushauri, ingawa ni dalili ya uhitaji wa kisaikolojia wa kutaka kufarijiwa na kuona unajaliwa ila si njia nzuri, inaweza kuthibitisha upungufu wa utimamu wako. Kutaka kuwa na maamuzi ya kushangaza na maisha ya tofauti kunaweza kuwa dalili ya utundu mkubwa wa utashi wa akili au kuanza kuchanganyikiwa, sasa ili uwe safe baki kwenye ukawaida.
5. Jitahidi kuwa na subra, vyovyote itakavyokuwa hutashinda bila subra liwe la kimwili au kiroho.
La mwisho ingawa nna mengi..
6. Usiache kumuoma MUNGU, hapa sitakushauri zaidi maana ni suala la utofauti wa imani. Ila sote tunamuamini Mungu muweza wa yote.
 
@ mzee kipusa vipi jambo lako lilipata suluhisho mkuu kama ndiyo tujuze maana ulikuwa umefikia hatua ya kujitoa uhai
 
For every dark night, there is a brighter day. Keep your head MzeeKipusa
 
Mzee kipusa ana mental issues sijui kama anakuelewa ulichomuandikia hapa

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Naomba unianbie ndoto zako hata 2 unazoota usiku zinazojirudia sana..

Kuna jambo nitakujibu
 
Nimekupata vyema sana. YOTE uliyoandika ni according to your experience.

Ninajitambua vyema Tena sana sana.

LIFE IS A MYSTERY [emoji846]
 
Naomba unianbie ndoto zako hata 2 unazoota usiku zinazojirudia sana..

Kuna jambo nitakujibu
1. Meeting with people with High Lanks ( MaRais, Viongozi wa serikali / dini :- talking with them, advicing them , exchanging ideas )

2. Kwenye Kambi za jeshi ( and mostly Huwa naonekana nikiwa kambinj ( bwenini )

Hizo ni ndoto ambazo hujirudia mara Kwa mara.

Zamani , I use to see Jesus Christ appearing in dreams several times .
 
Wewe ni Mfalme au Mkuu...

Wafalme huwa wanapitia mapito makubwa sana, unatengenezwa kuja kubeba Taifa hivyo unatakiwa ushinde hizo vita zote...

Hayo unayoyaona kwenye ndoto yatakuja kutimia...

Usiogope! Wewe ni Shujaa...


Unikumbuke ukiwa Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…