Historia ya Mzee Kipusa

Mimi nafikiri labda nimesahaulika tu. Siwezi kusema zaidi ya haya.

Mzee umesahaulika kwasababu uliharibu mipango ya watu waliotaka kumuondoa JIWE!! Na hao sasa ndio wameishika nchi ndio maana hawataki kabisa kusikia habari zako. Upo hapo Mzee Kipusa? Iliyobaki wewe sasa ni kusali tu kwa MUNGU wako mwisho wako uwe salama.
 
kama ndivyo unaloliona na kwa mujibu wako ukiona kitu hutokea. Unaonaje ukitumia muda huu kumwaga kila kitu ukijuacho humu jf? Hii ni kwa maslahi mapana ya wananchi na Taifa lako. Fanya jambo Mkuu
Kuna vitu havipaswi kuwekwa hadharani.

1.Siri za Nchi
2. Siri za Ajira
 
Mwajiri wangu alikua hapeleki makato. Nilikua nakatwa PSPF....niliwahi kwenda nikaambiwa balance yangu ni ZIRO.

Mwamposa nimeenda sana bro...hakuna chochote....

Hizi changamoto , now sina hamu kabisa na Hesabu.
 
Sawa Ndugu . Nimekuelewa
 
Kuna vitu havipaswi kuwekwa hadharani.

1.Siri za Nchi
2. Siri za Ajira

Wewe una miaja 80 sasa, umri wa kuficha siri kisheria umepita hivyo kwa maslahi mapana ya vizazi vijavyo unaweza kuweka wazi mambo unayoyajua ambayo yalikuwa classified lakini sasa yamepitwa na wakati hivyo kuwa declassified!! Kutoa yaliyokuwa siri zamani ni moja ya ishara ya kuwa wewe ni mzalendo na utakufa huku ukiipenda nchi yako.
Hivi karibuni kwa mara ya kwanza ndio tumeambiwa kuwa alipokuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali enzi ya Mwalimu, Sinde Warioba alitaka kujiuzuru wadhifa wake kwasababu serikali ilipeleka bungeni sheria ambayo ingekuwa kandamizi kwa wananchi!
 
Mimi sina umri huo Ndugu
 
Bas nadhani hiyo favor ya kufukuzwa kaz bila utumish ipo elimu tu, .ndo unaweza kuomba upya ..ww swali langu hujalielewa vizur,je waliandika umefukuzwa kazi na utumish au bila utumish?
 
Wewe msikilize tu
 
Bas nadhani hiyo favor ya kufukuzwa kaz bila utumish ipo elimu tu, .ndo unaweza kuomba upya ..ww swali langu hujalielewa vizur,je waliandika umefukuzwa kazi na utumish au bila utumish?
Labda mpaka nipitie barua zao vizuri
 
Very touching
 
Mimi sina umri huo Ndugu
Kweli ulizaliwa miaka ya 80!! Bado umri wako unakuruhusu kuendelea kufanya kazi lakini bahati mbaya kule kuvuruga kwako ule mpango dhidi ya Magufuli ndio kunakuletea mateso! Hawa waliokuwa maadui wa Magufuli hawawezi kuwa na huruma na wewe kwani ni watu wenye chuki na visasi ; na wao ndio wanaoiongoza serikali!
 
Miaka ya 1980 hakukuwa na vipimo vya mkono kwenda sikioni. Kumbuka kipindi hicho kulikuwa na kisomo cha manufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…