Tafadhal marekebishoKwa ufupi ni kwamba Mtume hakuwahi kujaliwa mtoto wa kiume japo alikuwa nao wa kike. Miongoni mwa watoto wake, Fatima alikuwa ndiye wa mwisho. Ni huyu Fatima pekee alifanikiwa kuwa na m(wa)toto wa kiume ambaye alijaliwa kuishi hadi kuvuka kipindi cha utoto; yaani wajukuu wote wa kiume wa Mtume walikuwa wanafariki wakiwa wachanga. Fatima naye alifariki akiwa na miaka 28!
Fatima aliolewa na Ali; kwa maana nyingine Ali alikuwa mkwe wa Mtume. Kuna kipindi ulitokea utata kwenye kauli ya Mtume wengine wakidai amemteua Ali kuwa mrithi wake wengine wakipinga na hapo ndipo ulipotokea mgawanyiko wa haya makundi. Waliounga mkono mtazamo kwamba Ali ndiye mrithi wa Mtume ndio hao wanaojiita Shia japo mbele ya safari walikuja pia kugawanyika katika vidhehebu kutokana na tofauti za hapa na pale.
Nimekusoma Mkuu! Nakubaliana na wewe ila wote hao walifariki wakiwa watoto wachanga kama ilivyokuwa pia kwa wajukuu zake wa kiume isipokuwa wale wa Fatimah kwa mumewe Ali (Hassan na Hussein). Kwa mfano Qasim alifariki akiwa na miaka 2 tu!Tafadhal marekebisho
mtume muhammad S.A.W Aliwahi kupata watto wa kiume akiwemo QACIM na ibrahim kama kumbukumbu zangu ziko sawa
Naaam swahih maalim wanguNimekusoma Mkuu! Nakubaliana na wewe ila wote hao walifariki wakiwa watoto wachanga kama ilivyokuwa pia kwa wajukuu zake wa kiume isipokuwa wale wa Fatimah kwa mumewe Ali (Hassan na Hussein). Kwa mfano Qasim alifariki akiwa na miaka 2 tu!
Kwani utume unalithiwa?Kwa ufupi ni kwamba Mtume hakuwahi kujaliwa mtoto wa kiume japo alikuwa nao wa kike. Miongoni mwa watoto wake, Fatima alikuwa ndiye wa mwisho. Ni huyu Fatima pekee alifanikiwa kuwa na m(wa)toto wa kiume ambaye alijaliwa kuishi hadi kuvuka kipindi cha utoto; yaani wajukuu wote wa kiume wa Mtume walikuwa wanafariki wakiwa wachanga. Fatima naye alifariki akiwa na miaka 28!
Fatima aliolewa na Ali; kwa maana nyingine Ali alikuwa mkwe wa Mtume. Kuna kipindi ulitokea utata kwenye kauli ya Mtume wengine wakidai amemteua Ali kuwa mrithi wake wengine wakipinga na hapo ndipo ulipotokea mgawanyiko wa haya makundi. Waliounga mkono mtazamo kwamba Ali ndiye mrithi wa Mtume ndio hao wanaojiita Shia japo mbele ya safari walikuja pia kugawanyika katika vidhehebu kutokana na tofauti za hapa na pale.
Dah mambo ya islamic history, unanikumbusha mbali shekh wangu,,,,Alfarouq seminary kulikuwa na mtaalaam wa hiyo kitu anasimulia afu unajihisi unaishi enzi za mtumeNaaam swahih maalim wangu
Inaonekana we mtaalam wa sirah
Lakin mkuu hawa wanaonewa sana huko Middle East. ..Kwa ufupi ni kwamba Mtume hakuwahi kujaliwa mtoto wa kiume japo alikuwa nao wa kike. Miongoni mwa watoto wake, Fatima alikuwa ndiye wa mwisho. Ni huyu Fatima pekee alifanikiwa kuwa na m(wa)toto wa kiume ambaye alijaliwa kuishi hadi kuvuka kipindi cha utoto; yaani wajukuu wote wa kiume wa Mtume walikuwa wanafariki wakiwa wachanga. Fatima naye alifariki akiwa na miaka 28!
Fatima aliolewa na Ali; kwa maana nyingine Ali alikuwa mkwe wa Mtume. Kuna kipindi ulitokea utata kwenye kauli ya Mtume wengine wakidai amemteua Ali kuwa mrithi wake wengine wakipinga na hapo ndipo ulipotokea mgawanyiko wa haya makundi. Waliounga mkono mtazamo kwamba Ali ndiye mrithi wa Mtume ndio hao wanaojiita Shia japo mbele ya safari walikuja pia kugawanyika katika vidhehebu kutokana na tofauti za hapa na pale.
Aliyesema utume unarithiwa nani?Kwani utume unalithiwa?
Kwamba wanaonewa au la sijui. Nachojua by nunbers, Shiite ni wachache not more than 15% of the world's muslim population. Labda idadi yao inaweza pia kuwa sababu ya kujihisi wanaonewa.Lakin mkuu hawa wanaonewa sana huko Middle East. ..
Lakin mkuu hawa wanaonewa sana huko Middle East. ..
Sasa chief ni kwann hawapatani wakati wanatumia Kitabu kimoja cha Dini.... na kwanini shia wawe makafiri wakat n waisilamu.. tafadhali chief nisaidie kunielewesha hapo...Wanaonewa kwasababu wa sunii wanaona shia sio waislam bali ni makafiri ndo mana vikundi vya sunii kama al-Qaeda na isis huwa vinawashambulia sana. Pia suni na shia wana ugomvi ambao umekaa kisiasa sio ki dini tu. Saudi arabia ndio kiongozi wa sunni huku iran ni kiongozi wa mashia. Na kama unafatilia siasa za kimataifa basi lazima ujue hizi nchi mbili zinachukiana vibaya mno. Pia mara nyingi unasikia shia wanashambuliwa ni kwasababu wako wachache. Hata Nchi ambazo kuna shia wengi pia lazima sunni wawe wengi mfano iraq majority ni shia ila kuna sunni zaidi ya asilimia 40 so ni vigumu kuwaonea coz wanaweza ku fight back na kama sikosei iraq ilitokea vita ya kati ya sunni na shia miaka ya nyuma kidogo. Ila ukienda nchi kama saudia Arabia shia ni wachache sana so hata wakishambuliwa hawawezi kuandamana au kufanya chochote na serekali itawapuuza tu.
Soma tafuta uelewe, sio kila kitu kuambiwa!!Napenda kufaham historia ya Muslim Shea ( shia ) . Maana naona km hawapendwi sana huko Middle East..
Wa tume ya MakinikiaSoma tafuta uelewe, sio kila kitu kuambiwa!!
Wee prof gan ???
Kwakweli hamna namna !! prof asojituma asosoma !!Wa tume ya Makinikia
Kwakweli hamna namna !! prof asojituma asosoma !!Wa tume ya Makinikia