J Jackmedia Member Joined Apr 19, 2015 Posts 81 Reaction score 26 May 21, 2015 #1 salam wapendwa! natamani kumfahamu zaidi mtailand wengi humuita home back mzee wa vipepsi, anaenikosha sana kwa mapigo yake. naskia aliuliwa, baada ya kugoma kuchezea picha zake hollywood sina uhakika anaefahamu nipo makini nasubiri ajimwage,.
salam wapendwa! natamani kumfahamu zaidi mtailand wengi humuita home back mzee wa vipepsi, anaenikosha sana kwa mapigo yake. naskia aliuliwa, baada ya kugoma kuchezea picha zake hollywood sina uhakika anaefahamu nipo makini nasubiri ajimwage,.