Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 529
- 1,494
Nimenyoosha mikono....IlaSasa leo nakupa urahisi wa kuutembelea mlima kilimanjaro kwa safari ya kutwa yaani (Day Trip) kutoka marangu gate mpaka mandara hut.
Pata fursa ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi zilizoandikwa kwenye tangazo letu hapo chini
Hili ni tangazo😌
Hii ni Historia ya Mlima Kilimanjaro ama Tangazo la Biashara?
Manake nilipata shauku kubwa tu, nikajisomea mpaka nilipo fik hapa👇🏿
Nimenyoosha mikono....Ila
In all fairness, this is a misleading advertisment.
Tuheshimu Nyara zetu za Taifa
Historia yenyewe iko wapi? Hvyo vijimistari viwili vitatu ndiyo vinakushawishi kuwa unaweza kutushawishi kuita historia? Kama hujui kitu si uache tu.Mlima Kilimanjaro
Kilimanjaro ni jina la mlima mrefu kuliko yote barani Afrika. Mlima huo uko nchini Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro. Una urefu wa mita 5,895 (futi 19,340).
Hali halisi Kilimanjaro ni zaidi ya mlima tu, ni kama safu ndogo ya milima mitatu: Kibo, Mawenzi na Shira. Hiyo mitatu inaonekana kama vilele vitatu vya mlima mmoja, hivyo si vibaya kusema Kilimanjaro ni mlima.
Kijiolojia Kilimanjaro ni volkeno iliyolala kwa sasa. Kwenye kilele cha Kibo gesi bado inatoka. Kumbukumbu ya wenyeji ina habari ya mlipuko mnamo mwaka 1730.
Kilele cha juu cha Kibo kinaitwa Uhuru. Mtu wa kwanza kufika kileleni hapo alikuwa Johannes Kinyala Lauwo kutoka Marangu aliyewaongoza Wajerumani Hans Meyer na Ludwig Purtscheller tarehe 6 Oktoba 1889 wakati wa ukoloni wa Ujerumani. Wakati ule waliita ncha ya juu "Kaiser-Wilhelm-Spitze" (kwa Kijerumani: Kilele cha Kaisari Wilhelm) kwa heshima ya Kaisari wa Ujerumani.
Kibo ina theluji na barafuto ndogo kadhaa.
Sasa leo nakupa urahisi wa kuutembelea mlima kilimanjaro kwa safari ya kutwa yaani (Day Trip) kutoka marangu gate mpaka mandara hut.
Pata fursa ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi zilizoandikwa kwenye tangazo letu hapo chini 👇🏾
Bro! Niko na masters degree ya TourismHistoria yenyewe iko wapi? Hvyo vijimistari viwili vitatu ndiyo vinakushawishi kuwa unaweza kutushawishi kuita historia? Kama hujui kitu si uache tu.
Wewe na wenzako ndio mnafanya elimu ionekane haifai.Bro! Niko na masters degree ya Tourism
Mastets ya mchongoBro! Niko na masters degree ya Tourism
Asanteni kweli kuna njia ya ndani ya mapango ya amboni unatokea huko mlimani au kenya kabisa? kwa kwenya wao wakitaka kuupanda ni lazima waje tz au wao wana njia yao kuwafikisha? au haiwezekani kupitia kwa keya kabisa and why? nijibu kwanza nijue wewe masters holder