Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Dogo acha ujuaji.
CCM ni chama tawala na haijawahi kumkamua mtu damu.
CCM ni chama kinachotoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi na nchi jirani.
Wewe upo hapa nchini salama, ni moja ya matunda ya CCM na Serikali yake.
Swala la shida ya wananchi ni swala mtambuka na hata huko marekani kuna maskini na Ombaomba pia wapo.
Elimu bora kwa wananchi ni moja ya nyenzo ya kumkomboa mwananchi na hali ya umaskini, lakini sio kila mwananchi anauwezo wa kuipata elimu bora kwa wakati sahihi.
Kama huko Rwanda Serikali na wananchi wake wana maendeleo ya kiwango bora, basi ni swala la kujivunia na tutapenda kujifunza toka kwenu hayo mafanikio mliofikia.
Siasa za vyama vingi hapa nchini bado changa na bado zinakua.
Unaruhusiwa kujiunga au kushabikia chama cha upinzani lakini sio kwa ghalama ya kukikashifu chama tawala CCM ambacho kilikuwepo kabla ya Siasa ya vyama vingi hapa nchini.
Hao maraisi wenu mnaowasifia wamepata mafunzo ya aina moja au nyingine hapa nchini wakigharimiwa na serikari ya CCM na wanaiheshimu.
Ndugu zenu wakimbizi wana hifadhiwa hapa nchini na wengine kupewa uraia kamili kwa maridhio ya Sera ya serikali ya CCM.
Endelea kuchambua mada iliyopo hapa Jukwaani, lakini sio kwa ghalama ya kukiponda Chama Cha Mapinduzi.
Kama unavutiwa na nyanja ya siasa unaruhusiwa kujiunga na chama chochote na kugombea uongozi.
Ila ujue CCM ndio chama tawala na kimepewa ridhaa ya kuongoza nchi na Watanzania.
Kamwe CCM haijawahi kuwa na Sera ya kuwatesa raia wake walioipigia kura.
Hebu mélèze huyu mtu maana akatoa kichefuchefu n'a maandishi yake y'a uchochezi.
 
Mkuu habib anaekuharibia uzi ni mtu mmoja na wewe unamfahamu... na mnaongeaga kama vile ni mtu mwenye matendo mema...asingekuwepo hakuna ambae angelumbana hapa

amepata Ban utaona kama kuna m2 atauharibu uzi wako
Afadhali wwe umeliona hilo.... yule binti kazi kuquote post za watu kwa matusi ndio anaamsha hasira za watu wanaanza kuharibu uzi ila hayupo humu pametulia sana
 
Hahahahahahahahaha bullshit...
mimi nawewe nani ana hizo so called shobo?
mkuu acha kudandia Gari kwa mbele... tuogope kusema ukweli kisa kuna "inyezi" kadhaa mnaotupinga....mngetaka tusiwapinge mngeandika uzi kinyarwanda basi....
sio mnakuja kutukana hovyo hovyo,na ndio maana tunasema Rpf waliua wahutu pia.. kama sentensi yako ya mwisho ilivyodhihirisha
Anayetukana ni mmoja Ndugu unaingizaje wote????
 
Vitu vingine viko wazi kabisa havihitaji darubini
Mwanzoni nilimwona the bold mtu principled katika uandishi. Kumbe mweupe hivi..

Sijui ana agenda gani.

Eti... Habyalimana alikubali negotiations for power.

Eti RPA hawakuuwa RAIA. Human right report ya 1994 inasema mji wa Byumba nilikua na wakazi 80,0000 before RPA invasion ila kufika Sept 1994 unaambiwa Byumba alikua almost empty ikiwa na wakazi kama 4,000 tu. Huko kulijaa mass grave na displacement ya wahutu.
 
mambo mengine wameyaficha tu ....na hizi mass graves ziko sana sana

sasa leo tumeona kuwa Pk alipitisha troops zake zikaingia kigali.. ina maana wakati genocide inaanza kulikua na mauaji ya watutsi ,lakini pia vikosi vya RPF sitaki kuamini kama vilikaa tu vinatazama lazima waliua na wao... na mshike mshike ulikua hausimuliki kwakweli.....

let's see atamaliziaje
 
Nilipochoka aliposema Ruhengeri RPA waliagizwa wasiue raia ila kwa taarifa ya UN na utafiti wa davenport wa ICTR unaonyesha wahutu 40,000 walikufa

Nachokiona kuna vitu the bold anaficha ama ameileta hii story kutokea upande wa RPA ndio maana anaonyesha kagame yuko perfect alafu wahutu ndio wakatili pekee
 
mkuu the bold, mbona hizo link directory za chapter hazinipeleki mahali kwenye story???? heb bofya sehemu ya pili kama itakupeleka

ukiona umeikosa just rudi page iliyopita scroll utaiona mimi mwenyew ilinisumbua mwanzo.... sometimes unaweza hata kurud page mbili nyuma ndo uikute

nahisi ntakuwa nimekusaidia
 
mambo mengine wameyaficha tu ....na hizi mass graves ziko sana sana

sasa leo tumeona kuwa Pk alipitisha troops zake zikaingia kigali.. ina maana wakati genocide inaanza kulikua na mauaji ya watutsi ,lakini pia vikosi vya RPF sitaki kuamini kama vilikaa tu vinatazama lazima waliua na wao... na mshike mshike ulikua hausimuliki kwakweli.....

let's see atamaliziaje
Princess ariana sikujua una reasoning kubwa hivi..... Hujakosea kabisa ICTR (mahakama ya kusimamia kesi za mauaji ya rwanda ) ilifanya utafiti juu ya nani hasa alianzisha genocide na nani hasa aliua mwenzake ukiusoma utaona hicho ulichofikiria kuhusu RPF pia kuhusika na mauaji

utafiti huu hapo chini

kuna mengi the bold anatuficha labda anaogopa Noah nyeusi!!
 
Attachments

  • Stam-Rwanda-VISC.pdf
    1.1 MB · Views: 101

watu wasiojulikana mchezo
 
Mwanzoni nilimwona the bold mtu principled katika uandishi. Kumbe mweupe hivi..

Sijui ana agenda gani.

Eti... Habyalimana alikubali negotiations for power.

Eti RPA hawakuuwa RAIA. Human right report ya 1994 inasema mji wa Byumba nilikua na wakazi 80,0000 before RPA invasion ila kufika Sept 1994 unaambiwa Byumba alikua almost empty ikiwa na wakazi kama 4,000 tu. Huko kulijaa mass grave na displacement ya wahutu.
Report Za wazungu zitabaki kutukandamiza!!! Mbona hao wanaojiita UN walikuja kuomba msamaha kwa kutosaidia wakat walikuwa walishapewa taarifa kuwa Kuna Genocide inakuja!! Muulize kiongozi wa UN mcanada alichoshuudia na ndo alitoa ufafanuz!! Na aliandika kitabu Kuhusu Genocide ya rwanda
 
mambo mengine wameyaficha tu ....na hizi mass graves ziko sana sana

sasa leo tumeona kuwa Pk alipitisha troops zake zikaingia kigali.. ina maana wakati genocide inaanza kulikua na mauaji ya watutsi ,lakini pia vikosi vya RPF sitaki kuamini kama vilikaa tu vinatazama lazima waliua na wao... na mshike mshike ulikua hausimuliki kwakweli.....

let's see atamaliziaje
Soma kitabu kinaitwa SHAHE HANDE WITH DEVIL,mwandishi wake ni Lt. Gen. Roméo Dallaire aliyekua boss wa UN kipindi cha mauaji Rwanda anakwambia mji Gisenyi wkt RPF wanaukomboa kuna mwanajeshi wa RPF alikuta familia yake na ndg zake wameuwawa na wahutu yule soldier wa RPF akafanya kisasi kwa watu watu walioua familia yake unajua kilichofuatia?

Kagame alimpiga risasi kwa mkono wake yeye mwenyewe na kumuua mbele ya wanajeshi wenzie wa RPF kuonyesha hawako pale kwa ajili ya kisasi.Soma hicho kitabu utaelewa.
 
Hivi unaweza kushindaje vita bila kuua watu?
Na ndio maana yoyote anapigana against govement ,they are lebels....
Tatizo hawa watu wanaoshwa waonekane kama na wao hawakufanya chochote kwenye genocide....
Wote walioshiriki ni wauaji... hakuna Interahamwe wala RPF
 
Kwahiyo ulitaka watulie wafe wote bila kujitetea ndo uwaone sio wauaji?
 
Soma kitabu kinaitwa SHAHE HANDE WITH DEVIL,mwandishi wake ni Lt. Gen. Roméo Dallaire aliyekua boss wa UN kipindi cha mauaji Rwanda anakwambia mji Gisenyi wkt RPF wanaukomboa kuna mwanajeshi wa RPF alikuta familia yake na ndg zake wameuwawa na wahutu yule soldier wa RPF akafanya kisasi kwa watu watu walioua familia yake unajua kilichofuatia?

Kagame alimpiga risasi kwa mkono wake yeye mwenyewe na kumuua mbele ya wanajeshi wenzie wa RPF kuonyesha hawako pale kwa ajili ya kisasi.Soma hicho kitabu utaelewa.
Huyo general mbona anajulikana mnafki tu na hata alikataa kuwapa ushirikiano watafiti wa ICTR walipofanya utafiti na kugundua RPF walikuwa wanapewa risasi na UN ilihali waliitangazia dunia nzima kwamba Rwanda imefungiwa kuuziwa silaha

Pia hata davenport aliyekuwa anaongoza watafiti wa ICTE kugundua Huyo general wa Canada alikuwa anatumika na wamarekani kumsupport kagame kilichofuata ni wao kutimuliwa Rwanda na ripoti yao ya utafiti kuanika usaliti wa huyo dallaire embu soma hapo

https://www.google.com/amp/s/www.gl...s-behind-the-1994-rwanda-genocide/5406344/amp

Kingine kama kagame alimuua huyo mtutsi kisa kuua mhutu mbona hakuzuia vifo vya wajutu 40,000 waliochinjwa ruhengeri pamoja na butare!

Soma hapa chini full report ya watafiti wa ICTR waliotimuliwa Rwanda kisa kuanika ukweli wa ushiriki wa RPF kwenye kuandaa genocide na vifo vya wahutu zaidi ya 700,000
 
Attachments

  • Stam-Rwanda-VISC.pdf
    1.1 MB · Views: 69
Back
Top Bottom