Historia ya Majini

Labda niseme binadamu ndiye mwenye roho mbaya kuliko hata majini iwe kwa kufanya vitu gizani au kwa kuonekana,mgekuwa mna elimu ya uchawi mngejua,hebu imejini mtoto aliyezariwa vizuri analogwa na kuwa zezeta maisha yake yote hata kama ataishi miaka 60,au angalia vichaa bado wanaochukuliwa misukule huyu anayofanya yote ni binadamu
 
BINADAMU HAWEZI KUFANYA UCHAWI BILA KUSAIDIWA NA MAJINI
majini ndiyo yaliyowafindisha binadamu ELIMU ZA SAYANSI,UCHAWI,SILAHA ZA VITA na teknolojia.
 
BINADAMU WOTE KIASILI NI WAJA wa mwenyezi Mungu ..wameumbwa kwa moyo wa kumfanyia MUNGU IBADA ya kweli ...wooote kila binadamu wote..lakini SHETANI NA MAJINI wakishirikiana na watu waliofundishwa uchawi na majini..na kuondolewa ROHO ya UBINADAMU na wengine ni watoto wa MAJINI NA WANADAMU nusu jini nusu mtu..na wengine ni majini kabisa yapo pia MANEFELI yanaishi humu duniani tunaishi nayo siyo marefu kama zamani ni watu kaama mimi na wewe ,wapo kwenye siasa,michezo ,burudani,sanaa,viongozi wa dini,siasa..masokoni,mashuleni..sio binadamu
NDIO WANAOBUNI MABAYA kufanikisha agenda za kuzimu.

NA KUWAFANYA BINADAMU wa kweli wasifanye ibada kwa MUNGU WA KWELI YESU KRISTO***JEHOVANISI**ROHO MTAKATIFU
 
Sasa Samuya na jini bora nini?
 
BINADAMU HAWEZI KUFANYA UCHAWI BILA KUSAIDIWA NA MAJINI
majini ndiyo yaliyowafindisha binadamu ELIMU ZA SAYANSI,UCHAWI,SILAHA ZA VITA na teknolojia.
Malaika ndiyo waliokuja kuwafundisha binadamu uchawi tena na majina yao ni Harut na Marut katika mji wa babel na waliwaambia kabisa hiki kitu siyo kizuri,ukitaka gogle utaupata ukweli wao,na Mwanadamu ndiyo mwenye maalifa makubwa katika ulimwengu wa giza inamaana jini hutumika na mwanadamu kama mtumwa wake siyo jini anamtumia mwanadamu
 
Majini na malaika ni tofauti,ndiyo maana Mungu kaumba viumbe vitatu, Malaika kwa Mwanga Majini kwa Moto Binadamu kwa Udongo sasa hapo ukisema majini walikuwa malaika unakosea
Je Kuna mizimu wabaya na mizimu wazuri?
 
Umechanganya mambo MUNGU WA KWELI YESU KRISTO JEHOVANIS ROHO MTAKATIFU, hao tayali ni Miungu wawili na watatu ni huyo roho mtakatifu tayali umeshaingia kwenye ibada ya Miungu unamkufuri Mungu ambaye hana mshirika
 
Je Kuna mizimu wabaya na mizimu wazuri?
Nataka nikupe hii elimu sijaisoma popote ila nimefundishwa na majini,nitazungumza kile nilichofundishwa
Binadamu akifa roho yake huwa inazunguka yaani wapendwa wetu wako kalibu na sisi bado tunamiunganiko nao,mara nyingi roho zao zonaishi kwenye miti wanajua kila kinachotukuta kwa hiyo ni vizuri kuwaombea nao wakafurahi basi mambo yetu huwa yananyooka mfano wazazi,
ukiongea kabla ya kuja kwa dini hawa watu waliitwa mizimu na baada ya kupokea dini tunawaita ndugu zetu,sasa ukisema wabaya au wema inategemeana duniani alishije au alikufaje,mfano wale waliouwawa siku ya maandamano roho zao zitawaandama wauaji wao wote kiasi kwamba hawatakuwa na amani mfano Samia kama unavyomuona anavyoteseka na kuna wale ambao duniani walikuwa wachawi wana roho mbaya nao wakifa roho zao huwa zinaangaika
 


MAJINI WOTE NI WACHAFU NA BABA YAK, MUNGU WAO NI SHETANI , IBILISI. ALAH UNATAKA KUWASAFISHA? WAO NA WAUMINI WAO WOTE NI WACHAFU WAFUASI WA SHETANI.
 
Umewahi kuwa unatoa majini kwa watu huko kwa wazungu?
 
Mengi uliyoyaeleza kuhusu majini sidhani kama biblia pia imeyaeleza mfano hayo makazi ya majini, kula kwa majini n.k
 
Lakini mkuu kuna binaadamu ambaye hatendi dhambi yani yupo kama malaika? Ukisema binaadamu anayetenda dhambi ni shetani si hakuna atakayebaki asiye shetani.
 
BINADAMU HAWEZI KUFANYA UCHAWI BILA KUSAIDIWA NA MAJINI
majini ndiyo yaliyowafindisha binadamu ELIMU ZA SAYANSI,UCHAWI,SILAHA ZA VITA na teknolojia.
Una maana gani kusema ili ufanye uchawi lazima usaidiwe na jini yani kwamba ili umroge mtu lazima ushirikiane na jini bila hivyo huwezi kumroga mtu?

Kama majini ndio wanafundisha elimu ya sayansi na Teknolojia basi hauwezi kusema majini hawana wema kutokana na manufaa wanayopata binaadamu leo kupitia sayansi na teknolojia.
 
Lakini mkuu kuna binaadamu ambaye hatendi dhambi yani yupo kama malaika? Ukisema binaadamu anayetenda dhambi ni shetani si hakuna atakayebaki asiye shetani.
Wapo binadamu wanaotenda mema na tena wakitendewa mabaya hawalipishi kwa ubaya na ni wacha Mungu wa daraja la juu wanakuwa na cheo zaidi ya malaika ukitaka kujua habari hizi soma hadithi za waja wema waliopita kwenye dini ya Uisilamu mfano wajukuu wa mtume ingawa imejengeka taswira ya mkristo ukimwambia asome hadithi za mtume Muhammad (S.A.W) anaona sawa na kumwambia afanye kitu asichokipenda bila kujua atajifunza na kufaidika na kitu kikubwa
 
Kuna Ancestors na Ghosts, uliyoeleza wewe hapo ghost na si ancestors ambao ndio hutambulika kama hii mizimu.
 
Sijazungumzia kicheo au kidaraja, yani nimeuliza kuna binaadamu huwa hana dhambi kabisa kama ambavyo walivyo malaika?
 
Mkuu, huyo mgonjwa ambaye mlifikiri yuko possessed na majini au mapepo alikuwa ni mgonjwa wa afya ya akili. Ni shida inaitwa multiple personality disorder au Dissociative identity disorder.
 
Mkuu, huyo mgonjwa ambaye mlifikiri yuko possessed na majini au mapepo alikuwa ni mgonjwa wa afya ya akili. Ni shida inaitwa multiple personality disorder au Dissociative identity disorder.
Shida hiyo inaweza hadi kumfanya huyo mgonjwa kuweza kuongea kifasaha lugha ambayo hakuwahi kujifunza?
 
Sijazungumzia kicheo au kidaraja, yani nimeuliza kuna binaadamu huwa hana dhambi kabisa kama ambavyo walivyo malaika?
Wapo,kwani Yesu alikuwa na dhambi? Ibrahimu,Mussa na Mtume Muhammad (S.A.W)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…