Historia ya Maisha yangu baada ya chuo mwaka 2009

Yenga08

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Posts
458
Reaction score
894
Habari zenu wana janvi..,
Nilimaliza chuo mwaka 2009 na kuanza kutafuta kazi.., ilinichukua mda mrefu sana bila kupata kazi mpaka ikafikia hatua yakukata tamaa juu ya kuajiliwa. Maana nilipoteza mda mwingi sana kutafuta ajira kitu ambacho huwa najilaum sana mpaka leo.

Huwa nakumbuka Interview moja hivi ilikuwa kwa ajili ya kazi za uhamiaji., daaah nikikumbuka huwa nacheka sana. Nadhani wengi mnaikumbuka hiyo mambo ilivyokuwa., hiyo ngoma tuliifanyia uwanja wa taifa written na ilikuwa na raia nyomi. Nakumbuka selection ilitoka watu kwenda Oral, na hatimaye kuitwa kazini. Lakini baadae ilikuja kuonekana mchakato haukufuata taratibu na ajira hizo au waajiliwa hao walifutwa na mchakato kusemekana utaanza upya ila sijuwi kama ulianza au laah.

Na mara ya mwisho kuacha kutuma maombi ya kazi ilikuwa kazi za TRA, hiyo ngoma ilikuwa na nafasi nyiingi sana na raia walikuwa wengi sana maana kulikuwa na vituo vya kupigia paper Dar na mikoani. Wanaokumbuka yalikuwepo mpaka maswali yanayohusu mapendekezo ya kamati ya makinikia, pamoja na swali linalouliza kuhusu AGoA yaani daaah ni sheeda.
Nakumbuka mi nilipata maksi 65 na waliochukuliwa kwenda kwenye Oral ilianzia maksi 67 yaani niliumia kinouma, kuanzia hapo nikaamua kuacha kupambana na kazi za kuajiliwa yaani nikaacha kabisa kuwa naomba kazi.

Mnamo mwaka 2017 mwishoni nilikopeshwa kiasi flani cha pesa nikaanza biashara, ila kwa bahati mbaya sana biashara haikufana na mtaji ukawa umekata na kuambulia madeni., ila hapa tatizo lilikuwa ni yule mwenyeji wangu juu ya hiyo biashara "Usimuamini mtu"

Nilikaa nikawaza sana nin cha kufanya, maana kazi ya kuajiliwa bilabila, biashara nayo imebuma., ila mwisho wa siku nikaamua kuwa mkulima. Kutokana na maelezo ya watu tofautitofauti niliamua kulima vitunguu na Mungu alibariki nikapata gunia za kutosha tu, changamoto ikawa ni soko yaani wapi pa kuuzia huo mzigo.

Kwa bahati mbaya sana kwa msimu ule mwaka 2018 kitunguu ilikuwa nyingi sana,
Mpaka kufikia hatua ya kitunguu kinunuliwa kwa shilinhi 25000 kwa gunia ikiwa shambani. Na ukijiuliza usafirishe unakosa pakuipeleka na mwisho wa siku nikaamua kuiuzia shambani na kupata kiasi kidogo cha pesa. Kwa wanaopafahamu Igunga mkoa wa Tabora kijiji cha Bukama ndiko nilipokuwa nimelimia.

Baada ya hapo nilikodisha shamba la kulima mpunga kwa msimu wa mwaka huo huo 2018 mkoa wa Simiyu. Kulima nilifanikiwa nikalima ekali tatu, ila kwa bahati mbaya nvua hazikutosha na matokeo yake sikuweza kuvuna hata debe ndani ya hizo ekali tatu. Kwa mda wote huo nimekuwa kama mwana kijiji na vyeti kuamua kufukia kabisa na hakuna tena kuviwaza maana niliamua kupambana Plan B baada ya kuona Plana A kusoma na kuajiliwa imefeli.

Mwaka 2019 niliunganishwa kwa jamaa flani hivi huko Wilaya ya Kahama, jamaa nimfanya biashara wa nafaka nikawa kama moja ya vijana wake wa kwenda porini, yeye anawagawia pesa mnaenda vijijini kukusanya mazao mnakuja kumuuzia yeye kwa bei itakayokuwepo au akulipe 2000 kwa gunia kama ujira wako.., maana jamaa huwa ni agent wa wafanyabiashara wakubwa.
Kiukweli jamaa alikuwa yupo pouwa sana na ananetwork kubwa juu ya nafaka, tulianza mwezi wa pili Choroko, mwezi wa tatu Karanga na Alizeti, mwezi wa nne Mpunga, Alizeti na Karanga na mwezi wa sita na kuendelea mpaka mwezi wa kumi ni Dengu na mbaazi.

Mwaka huo huo wa 2019 nililima tena mpunga ekali tatu, na Mungu alibariki nvua zilikuwa nyingi nikafanikiwa kupata gunia 60 za mpunga na hapo ndio nikaanza kupata mwanga na mwelekeo Mzuri wa maisha.

Inaendelea..,
 
Mkuu, endelea na hyo ctor, nakufuatilia moja kwa moja kutoka humu JF!

Me mwenyewe vyeti nishafunika! Nliandika barua za kutosha, na Magu aliharibu kabisaa taratibu za ajira, hapa nlipo ajira Sina na serikali inanidai Deni la license,!

Imebaki kupambana mtaani, Sasa hv Nina office yngu mwenyewe , Nina usafir wng namshukuru Mungu Sana ingawa changamoto Ni nyingi Sana!

Kwa hyo kwa faida ya vijana wengi, hebu weka full mkanda wa history ya maisha yako, tutajifunza!
 
Habari zenu wana janvi..,
Nilimaliza chuo mwaka 2009 na kuanza kutafuta kazi.., ilinichukua mda mrefu sana bila kupata kazi mpaka ikafikia hatua yakukata tamaa juu ya kuajiliwa. Maana nilipoteza mda mwingi sana kutafuta ajira kitu ambacho huwa najilaum sana mpaka leo.

Huwa nakumbuka Interview moja hivi ilikuwa kwa ajili ya kazi za uhamiaji., daaah nikikumbuka huwa nacheka sana. Nadhani wengi mnaikumbuka hiyo mambo ilivyokuwa., hiyo ngoma tuliifanyia uwanja wa taifa written na ilikuwa na raia nyomi. Nakumbuka selection ilitoka watu kwenda Oral, na hatimaye kuitwa kazini. Lakini baadae ilikuja kuonekana mchakato haukufuata taratibu na ajira hizo au waajiliwa hao walifutwa na mchakato kusemekana utaanza upya ila sijuwi kama ulianza au laah.

Na mara ya mwisho kuacha kutuma maombi ya kazi ilikuwa kazi za TRA, hiyo ngoma ilikuwa na nafasi nyiingi sana na raia walikuwa wengi sana maana kulikuwa na vituo vya kupigia paper Dar na mikoani. Wanaokumbuka yalikuwepo mpaka maswali yanayohusu mapendekezo ya kamati ya makinikia, pamoja na swali linalouliza kuhusu AGoA yaani daaah ni sheeda.
Nakumbuka mi nilipata maksi 65 na waliochukuliwa kwenda kwenye Oral ilianzia maksi 67 yaani niliumia kinouma, kuanzia hapo nikaamua kuacha kupambana na kazi za kuajiliwa yaani nikaacha kabisa kuwa naomba kazi.

Mnamo mwaka 2017 mwishoni nilikopeshwa kiasi flani cha pesa nikaanza biashara, ila kwa bahati mbaya sana biashara haikufana na mtaji ukawa umekata na kuambulia madeni., ila hapa tatizo lilikuwa ni yule mwenyeji wangu juu ya hiyo biashara "Usimuamini mtu"

Nilikaa nikawaza sana nin cha kufanya, maana kazi ya kuajiliwa bilabila, biashara nayo imebuma., ila mwisho wa siku nikaamua kuwa mkulima. Kutokana na maelezo ya watu tofautitofauti niliamua kulima vitunguu na Mungu alibariki nikapata gunia za kutosha tu, changamoto ikawa ni soko yaani wapi pa kuuzia huo mzigo.

Kwa bahati mbaya sana kwa msimu ule mwaka 2018 kitunguu ilikuwa nyingi sana,
Mpaka kufikia hatua ya kitunguu kinunuliwa kwa shilinhi 25000 kwa gunia ikiwa shambani. Na ukijiuliza usafirishe unakosa pakuipeleka na mwisho wa siku nikaamua kuiuzia shambani na kupata kiasi kidogo cha pesa. Kwa wanaopafahamu Igunga mkoa wa Tabora kijiji cha Bukama ndiko nilipokuwa nimelimia.

Baada ya hapo nilikodisha shamba la kulima mpunga kwa msimu wa mwaka huo huo 2018 mkoa wa Simiyu. Kulima nilifanikiwa nikalima ekali tatu, ila kwa bahati mbaya nvua hazikutosha na matokeo yake sikuweza kuvuna hata debe ndani ya hizo ekali tatu. Kwa mda wote huo nimekuwa kama mwana kijiji na vyeti kuamua kufukia kabisa na hakuna tena kuviwaza maana niliamua kupambana Plan B baada ya kuona Plana A kusoma na kuajiliwa imefeli.

Mwaka 2019 niliunganishwa kwa jamaa flani hivi huko Wilaya ya Kahama, jamaa nimfanya biashara wa nafaka nikawa kama moja ya vijana wake wa kwenda porini, yeye anawagawia pesa mnaenda vijijini kukusanya mazao mnakuja kumuuzia yeye kwa bei itakayokuwepo au akulipe 2000 kwa gunia kama ujira wako.., maana jamaa huwa ni agent wa wafanyabiashara wakubwa.
Kiukweli jamaa alikuwa yupo pouwa sana na ananetwork kubwa juu ya nafaka, tulianza mwezi wa pili Choroko, mwezi wa tatu Karanga na Alizeti, mwezi wa nne Mpunga, Alizeti na Karanga na mwezi wa sita na kuendelea mpaka mwezi wa kumi ni Dengu na mbaazi.

Mwaka huo huo wa 2019 nililima tena mpunga ekali tatu, na Mungu alibariki nvua zilikuwa nyingi nikafanikiwa kupata gunia 60 za mpunga na hapo ndio nikaanza kupata mwanga na mwelekeo Mzuri wa maisha.

Inaendelea..,

karibu kahama .hii sehemu inapesa sana
 
SEHEMU YA PILI.

Niwarudishe nyuma kidogo.., mnamo mwaka 2014 nilipata kibarua kwenye kikampuni flani hivi cha uwakala mkuu wa haya mambo ya pesa. Kikampuni hiki ndio kilikuwa kinaanza yaani ndio kilipata tenda ya uwakala mkuu, jamaa tulikubaliana kuwa wawe wananilipa mshahara wa 600,000 kwa mwezi nikiwa kwenye nafasi ya Meneja kwenye hiyo kampuni. Nilifanya kazi miezi kadhaa na kampuni ilikuwa inakuwa kwa kasi sana, maana mwezi wa kwanza tu tulipata kumi na kitu M profit wakati mtaji tuliokuwa tunazungusha ni 30M.

Baada ya miezi Kadhaa kupita yalianza makando kando ya hapa na pale kati yangu na Mkurungezi. Maana jamaa alibadilika sana akawa mkali mara oooh hakuna mnachokifanya na wakati huo tulikuwa tunaingia mzigoni jumatatu mpaka jumapili. Huwa nakumbuka kuna siku alinipigia simu siku ya jumapili akaniambia kuna kikao msiondoke, nami nikamwambia sawa Boss ila naomba ujitahidi kuwahi kuja ili tuwahi kuondoka maana leo ndio huwa siku yetu ya kufanya usafi. Siku ya jumapili tulikuwa tumapiga kazi na kufunga saa nane., yaani hapo hakuna cha kanisani wala kwenda kusalimia ndugu na jamaa.

Basi bhana.., baada ya kumwambia hivyo huyo bwana Mukubwa alinimind sana eti akaniambia "how do you dare to tell me that". Nilijiuliza sana hapa kosa langu nini, au kumwambia kuwahi, mpaka nikakumbuka kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi kwa wahindi alishawahi kuniambia "mwana, hapa Tz mwajiri Mzuri ni Govt na Mzungu tu hawa wengine hakuna kitu". Maana unajikuta unajituma kupiga kazi kwa sana lakini wakubwa hawathamini mchango wako.

Jamaa alikuja tukakaa kikao mpaka saa kumi na moja ndio tukatoka. Nilitoka nimechukia sana, nikapita zangu sehem nikapata masanga kadhaa kisha nikanyoosha zangu home, na nilipofika home sikuweza kufanya chochote zaidi ya kulala. Siku ziliendelea kama kawaida, kuna siku bwana Mukubwa huyu alikuja ofisini mida ya mchana, akaniita kwenye gari yake mazungumzo yakaanza akaniambia inatakiwa uchague kitu kimoja kati ya hivi viwili, kwenda kitengo cha sales na mshahara wako upungue kutoka 600,000 na kuwa 300,000 au kuacha kazi.

Alahaulaaaah.., huyu bwana Mukubwa nilimwambia naacha kazi, nakumbuka ilikuwa kati kati ya mwezi., akaniuliza are you serious nami nikamjibu YES., akanichekiiiii kisha akaniambia basi sawa. Leo na kesho unatakiwa unikabidhi ofisi yangu na mambo mengine subiri mwisho wa mwezi. Nami nikaona isiwe taabu, kweli nilimkabidhi ofisi yake nikasubili hiyo mwisho wa mwezi kusubili kupata kilicho changu. Cha kushangaza ilipofika mwisho wa mwezi ikawa sheeda, yaani ikawa kama vile deni unampigia sim hapokei, unaenda ofisini anakwambia subiri kuna mambo hayajakamilika, yaani daaah aliniudhi sana huyu bwana Mukubwa. Ila nashukuru Mungu mwisho wa siku alinilipa tukawa tumeachana nanikaanza tena mishe za kitaa. Ila baade nilikuja kugundua nia na madhumuni ya kunitoa pale alitaka mke wake aje akae kwenye nafasi yangu ya Umeneja, maana wakati tunaanza kazi mke wake alikuwa kajifungua siku si mingi. Baada ya kumaliza miezi ya uzazi ndio akawa anatarajia aje kuanza kazi pale ofisini, na hizi taarifa nilizipata kupitia kwa wana waliobaki pale baada ya mim kuondoka.

Mnamo mwaka 2015 baada ya mambo kukaza kisawasawa nikaamua kwenda migodin, yaani kwenye hii migodi ya wachimbaji wadogowadogo sehem za Wilaya ya Kahama. Nilifika nikaanza kazi na jamaa yangu mmoja hivi nikiwa kama msimamizi wa Mwalo, na huo kwalo ulikuwa na majina Matano yaani wawezeshaji (Wanaotoa pesa za kuendeshea shughuli za mwalo ) majina 2, karasha 2 majina 2 na jina 1 kwa ajili ya eneo la mwalo pamoja na Duara. Kwa wenyeji wa hizi kazi watakuwa wamenielewa vyema kwenye huo mgawanyo.

Nilipiga kazi kuanzia mwezi wa nane 2015 mpaka mwezi wa kumi na mbili tukawa tumefunga kazi, maana makinikia yalikuwa mengi (Senga limekuwa kubwa) tukaanza kutafuta mnunuzi. Tulikaa mpaka mwezi wa sita 2016 ndio tukapata mnunuzi, maana mfumo wa kipindi kile ulikuwa mgumu sana tofauti na mfumo wa sas. Nakumbuka kipindi kile Tajiri anakuja anachukua Sampli ya mchanga anaenda kupima halafu anawaletea majibu, Majibu yanaweza kuja akasema mchanga wenu hauna kitu chukueni hela kadhaa kumbe wakati huo mchanga umesoma vizuri tu. Ila kwa kuwa hapakuwepo na utaratibu wa wenye Senga kwenda kupima sampli ya mchanga na kujiridhisha kilichomo raia walilidhika tu na kupimo cha Tajiri na kupokea pesa aliyotoa Tajiri. Mfumo huu uliwafanya Matajiri hao kuendelea kutajirika maana ndio walikuwa watu wa mwanzo mwanzo kabisa kuanza kujenga Gold Plant kwenye hii migodi midogomidogo.

Nakumbuka tuliuza12 Million, nami kama msimamizi niliambulia milioni moja. Wakati huo tunasubili kuuza mimi na huyu jamaa yangu tukawa tumeenda sehem nyingine tena, tukaanzisha mwalo na senga likafika tukaanza kutafuta mnunuzi. Hatujakaa sawa Pakawaka sehem nyingine tukakimbia kuwahi na kuanzisha mwalo napo senga likawa kubwa tukawa tunasubili wanunuzi.

Maliza mkuu.
 
Ngoja tuone utafika wapi
 
Habari zenu wana janvi..,
Nilimaliza chuo mwaka 2009 na kuanza kutafuta kazi.., ilinichukua mda mrefu sana bila kupata kazi mpaka ikafikia hatua yakukata tamaa juu ya kuajiliwa. Maana nilipoteza mda mwingi sana kutafuta ajira kitu ambacho huwa najilaum sana mpaka leo.

Huwa nakumbuka Interview moja hivi ilikuwa kwa ajili ya kazi za uhamiaji., daaah nikikumbuka huwa nacheka sana. Nadhani wengi mnaikumbuka hiyo mambo ilivyokuwa., hiyo ngoma tuliifanyia uwanja wa taifa written na ilikuwa na raia nyomi. Nakumbuka selection ilitoka watu kwenda Oral, na hatimaye kuitwa kazini. Lakini baadae ilikuja kuonekana mchakato haukufuata taratibu na ajira hizo au waajiliwa hao walifutwa na mchakato kusemekana utaanza upya ila sijuwi kama ulianza au laah.

Na mara ya mwisho kuacha kutuma maombi ya kazi ilikuwa kazi za TRA, hiyo ngoma ilikuwa na nafasi nyiingi sana na raia walikuwa wengi sana maana kulikuwa na vituo vya kupigia paper Dar na mikoani. Wanaokumbuka yalikuwepo mpaka maswali yanayohusu mapendekezo ya kamati ya makinikia, pamoja na swali linalouliza kuhusu AGoA yaani daaah ni sheeda.
Nakumbuka mi nilipata maksi 65 na waliochukuliwa kwenda kwenye Oral ilianzia maksi 67 yaani niliumia kinouma, kuanzia hapo nikaamua kuacha kupambana na kazi za kuajiliwa yaani nikaacha kabisa kuwa naomba kazi.

Mnamo mwaka 2017 mwishoni nilikopeshwa kiasi flani cha pesa nikaanza biashara, ila kwa bahati mbaya sana biashara haikufana na mtaji ukawa umekata na kuambulia madeni., ila hapa tatizo lilikuwa ni yule mwenyeji wangu juu ya hiyo biashara "Usimuamini mtu"

Nilikaa nikawaza sana nin cha kufanya, maana kazi ya kuajiliwa bilabila, biashara nayo imebuma., ila mwisho wa siku nikaamua kuwa mkulima. Kutokana na maelezo ya watu tofautitofauti niliamua kulima vitunguu na Mungu alibariki nikapata gunia za kutosha tu, changamoto ikawa ni soko yaani wapi pa kuuzia huo mzigo.

Kwa bahati mbaya sana kwa msimu ule mwaka 2018 kitunguu ilikuwa nyingi sana,
Mpaka kufikia hatua ya kitunguu kinunuliwa kwa shilinhi 25000 kwa gunia ikiwa shambani. Na ukijiuliza usafirishe unakosa pakuipeleka na mwisho wa siku nikaamua kuiuzia shambani na kupata kiasi kidogo cha pesa. Kwa wanaopafahamu Igunga mkoa wa Tabora kijiji cha Bukama ndiko nilipokuwa nimelimia.

Baada ya hapo nilikodisha shamba la kulima mpunga kwa msimu wa mwaka huo huo 2018 mkoa wa Simiyu. Kulima nilifanikiwa nikalima ekali tatu, ila kwa bahati mbaya nvua hazikutosha na matokeo yake sikuweza kuvuna hata debe ndani ya hizo ekali tatu. Kwa mda wote huo nimekuwa kama mwana kijiji na vyeti kuamua kufukia kabisa na hakuna tena kuviwaza maana niliamua kupambana Plan B baada ya kuona Plana A kusoma na kuajiliwa imefeli.

Mwaka 2019 niliunganishwa kwa jamaa flani hivi huko Wilaya ya Kahama, jamaa nimfanya biashara wa nafaka nikawa kama moja ya vijana wake wa kwenda porini, yeye anawagawia pesa mnaenda vijijini kukusanya mazao mnakuja kumuuzia yeye kwa bei itakayokuwepo au akulipe 2000 kwa gunia kama ujira wako.., maana jamaa huwa ni agent wa wafanyabiashara wakubwa.
Kiukweli jamaa alikuwa yupo pouwa sana na ananetwork kubwa juu ya nafaka, tulianza mwezi wa pili Choroko, mwezi wa tatu Karanga na Alizeti, mwezi wa nne Mpunga, Alizeti na Karanga na mwezi wa sita na kuendelea mpaka mwezi wa kumi ni Dengu na mbaazi.

Mwaka huo huo wa 2019 nililima tena mpunga ekali tatu, na Mungu alibariki nvua zilikuwa nyingi nikafanikiwa kupata gunia 60 za mpunga na hapo ndio nikaanza kupata mwanga na mwelekeo Mzuri wa maisha.

Inaendelea..,
I want one moment in time When I'm more than I thought I could be When all of my dreams are a heartbeat away And the answers are all up to me Give me one moment in time When I'm racing with destiny Then in that one moment of time I will feel I will feel eternity
 
Huyu mwamba story yake imefanana na yang sema yeye nmkubwa kidogo coz chuo mm nilimaliza 2015 na now nipo msumbiji na baada ya shida zote now am about 1. 5kl of gold kwa just 2 yrs na miez yake. Ngoja jamaa amalize na mm ntawaispire wapambanaji wenzangu na yakwang japo kidogo. Endeleea mwamba.
 
Tuandikie aisee ila ujitahidi usiwe unatusubirisha sana.
 
Jamaa umeanza vizuri sana. Lakini huko unakoelekea....sijui
 
Back
Top Bottom