Mkuu ninakutakia mafanikio katika kukitafuta.Ukikipata tujulishane.
Nitapenda pia kusoma historia ya Tanzania isiyo ya uongo na kinafiki.Hata hivyo, sina hakika kama kipo kitabu cha aina hiyo.
kasome vitabu vya Mohamed said. vipo madukani
Huyu anaelezea historia ya ''uislam na Tanzania''
vipo vitabu vinaeleza ukristo ulivyoingia TanganyikaUkristo na tanganyika hamna?
Tanzania haijawahi kupata uhuru,au umekusudia tanganyika?
Ukristo na tanganyika hamna?
Huyu anaelezea historia ya ''uislam na Tanzania''
Nitapata wapi kitabu cha ukweli na chenye historia ya ukweli ya Tanzania na sii historia ya uongo na kinafiki ? Kuhusu Tanzania kabla na baada ya uhuru,ikijumuisha viongozi wake mafanikio yao na maendeleo ya Taifa kiujumla?nipo tayari kukinunua kwa bei yoyote.
Kama umeweza kutofautisha ni historia ipi ya kinafiki na ipi ni ya uongo inamaanisha historia ya kweli unayo mkono wa pili.Nitapata wapi kitabu cha ukweli na chenye historia ya ukweli ya Tanzania na sii historia ya uongo na kinafiki ? Kuhusu Tanzania kabla na baada ya uhuru,ikijumuisha viongozi wake mafanikio yao na maendeleo ya Taifa kiujumla?nipo tayari kukinunua kwa bei yoyote.
Tanzania haijawahi kupata uhuru,au umekusudia tanganyika?
Nitapata wapi kitabu cha ukweli na chenye historia ya ukweli ya Tanzania na sii historia ya uongo na kinafiki ? Kuhusu Tanzania kabla na baada ya uhuru,ikijumuisha viongozi wake mafanikio yao na maendeleo ya Taifa kiujumla?nipo tayari kukinunua kwa bei yoyote.
ngoja tujaribu kuifuatilia mkuu..maana historia yetu inafichwa kuliko mizigo ya akina masogangemkuu naona hapa kuna kazi. Historia ya ukweli! Sidhani kama utaipata, labda utapata matukio lakini story , zilikwishachakachuliwa. Labda nakushauri utafute historia kwa wazee utapata ukweli