Hata mimi!Nitasoma
mkuu safi sana.sasa hapo zana zote zipo pamoja.dah tena jumba linaonesha architect yake ni mjeruman hiv hizo arch way..Familia ikae kiongoz ateuliwe watie muhtasari waanzishe museum ya familia.case study butiama
Na fikiria aliyeandika historia ni mzungu..sisi waafrika hatuwezi, serikali haiwezi, inapelekea hata vijana haswa kizazi hiki wanaoshusha mlegezo makalioni hawajui wametokea wapi, mimi kama mtanzania i have play my part najua Jamii Forums itaendelea kuwepo na kusomwa.picha hizo ziwe enlarged in format nzuri zinawekwa dispalys.
Tutsi!Mwene Ngalu wa I, mwanamke mtawala wa Kabila la WafipaView attachment 1577271
Posuta..