Walishondwa kukujibuNapenda kujua majina ya maofisa (Commisioned officers) 10(kumi) wa mwanzo walioanzisha JWTZ kama wanafahamika na vyeo vyao na mahali walipo either wapo hai au wamefariki.
Natanguliza shukrani .
Ukishajua itakusaidia nini?Napenda kujua majina ya maofisa (Commisioned officers) 10(kumi) wa mwanzo walioanzisha JWTZ kama wanafahamika na vyeo vyao na mahali walipo either wapo hai au wamefariki.
Natanguliza shukrani .