King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,852 Reaction score 95,064 Dec 14, 2022 #61 DJ Emperor - Africa Hotel Six Floor.
Orosso JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 962 Reaction score 2,308 Dec 14, 2022 #62 Doubleg Malafyale said: Umesema walianzisha na mbia mwenzie ruge ila kwenye hisa mbona hayupo?? Sasa ubia gqni unaouzungumzia wewe? Sema alikuwa muajiriwa tuu Click to expand... Naona ziko jumla 105%
Doubleg Malafyale said: Umesema walianzisha na mbia mwenzie ruge ila kwenye hisa mbona hayupo?? Sasa ubia gqni unaouzungumzia wewe? Sema alikuwa muajiriwa tuu Click to expand... Naona ziko jumla 105%
Orosso JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 962 Reaction score 2,308 Dec 14, 2022 #63 Adolph hitler jr said: Janja janja tu huyo mla asali ya maskini enzi hizo (wasanii).. Washukuriwe wasafi media kuwaumbua hatimaye wasanii wameanza kula jasho lao Click to expand... Fafanua zaidi.
Adolph hitler jr said: Janja janja tu huyo mla asali ya maskini enzi hizo (wasanii).. Washukuriwe wasafi media kuwaumbua hatimaye wasanii wameanza kula jasho lao Click to expand... Fafanua zaidi.
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,494 Reaction score 29,282 Dec 14, 2022 #64 Makonda nae yuko upande upi pale
J Johnson Fundi JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 1,393 Reaction score 1,216 Dec 15, 2022 #65 Sauti ya Mamlaka said: Kumbe ni station ya familia??????!!!! Click to expand... yes, very good
Kariobangi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2022 Posts 480 Reaction score 439 Dec 15, 2022 #66 Kadhi Mkuu 1 said: Namkumbuka Black Moses, alipanda chati na akaporomoka mwaka 1998 alikuwa singida kwa mama ntilie pakiitwa mrumbani akicheza tunampa bia na kumnunulia ugali nyama choma! Maisha yasikie tuu. Click to expand... Moses Simba ,mhitimu wa Al haramain enzi hizo!
Kadhi Mkuu 1 said: Namkumbuka Black Moses, alipanda chati na akaporomoka mwaka 1998 alikuwa singida kwa mama ntilie pakiitwa mrumbani akicheza tunampa bia na kumnunulia ugali nyama choma! Maisha yasikie tuu. Click to expand... Moses Simba ,mhitimu wa Al haramain enzi hizo!