Historia ya Joseph Kusaga

Itakua ivo mkuu....si unaona hata mkewe nandy kajiamulia kutafuta mme mwingine badala ya kung'ang'ania hizo mali.
Nandy alikuwa mke wake au alikuwa anapasha moto nyama yake ?
 
Asante umenikumbusha mbali.
 
Kim&Boyz ndiyo ilikuwa ya Magomelo?...
Enz za kina Digadiga,Black Moses ,Saba Jackson....
Namkumbuka Black Moses, alipanda chati na akaporomoka mwaka 1998 alikuwa singida kwa mama ntilie pakiitwa mrumbani akicheza tunampa bia na kumnunulia ugali nyama choma! Maisha yasikie tuu.
 
Nini kilimuua?
 
Namkumbuka Black Moses, alipanda chati na akaporomoka mwaka 1998 alikuwa singida kwa mama ntilie pakiitwa mrumbani akicheza tunampa bia na kumnunulia ugali nyama choma! Maisha yasikie tuu.
Baadae akajiingiza katika mambo ya sembe,na umauti kumkuta R.I.P.
 
i
na maana Ruge hakuwa na shea
 
Hii mbona sio full story na je kusaga Kwa sasa ni muumini wa dini ya kiislamu ila bado anatumia jina la Joseph?
 
Hii historia haijakamilika kabisa either aliyokuwa anaiandika alikuwa anakimbizwa au hakuwa anajua anachotuandikia ilikuweje ghafla tu alipofika Dar akahamia Marekani hakuna maelezo ya kutosha.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Basi sawa

Tuweke na historia yako sasa

Ova
 
Maanake kwamba ruge ni promoter, wataalamu wa company law wanaelewa...
 
A
Akikujibu hilo niite fisi maji nipo hapa nyuma ya phone's keypads
 
Janja janja tu huyo mla asali ya maskini enzi hizo (wasanii)..

Washukuriwe wasafi media kuwaumbua hatimaye wasanii wameanza kula jasho lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…