Utoto uko wapi?
kwani unataseka?
KARMA ya watanzania kutuibia kura na ile namna gani filikunjombe inammaliza
Ndio!kwani unataseka?
Kusoma nje ya nchi hasa ukiwa ni mgeni kama yeye HUWEZI KUSAJILIWA BILA kuwa na akaunti iliyonona. Kusema kwamba alipewa chumba pia bila deposit au guarantee ya mpangishaji ukiharibu kitu au kushindwa kulipa kwa mwezi mmoja kabla hawajakutoa wasipate hasara ni uongo pia.Utoto uko wapi?
Niteseke wewe wanijua go the point kuwa watu wapo hapo walipo kwa majina ya baba zao wala sikuwa wako smart than others.Ndio!
kufaNdio!
Mmmh hayo sijasema miye kiongoziMmmh mkuu, unataka kusema huyu jamaa naye ni mcheza rafu hadi kwa uhai?